ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,199
- 989
Nimeona nitoe huu uzi, maana wanandoa wengi wanachepuka sana. Kama wewe ulishawahi kufumaniwa laiv, ama sms kwenye simu ama audio zilizorekodi maongezi yako na mchepuko, ama vyovyote vile. Ili mradi tu ilileta tafran na majuto kwenye uhusiano wako. Just funguka ya moyoni ushare na wenzako