Kama ulishawahi kufumaniwa na mke/mume tupeane uzoefu

Everything depends on your emotional attitude either vyote vitakuumiza au visikuumize na ubora utabase na kuumia au kutokuumia
 
mwanaume anakutwa afumaniw jaman. yaan anaktwa anagegeda manz mngne, ila mwanamke ndo anafumanwa. wadau hamuuon kitenz chenye gegedwa to mb w, gongwa.
 
Hamna jema hapo, tena ukifumania kwa kukusudia ni kujichoresha tu,zaidi utaonekana wa ajabu. Huo muda wa kwenda kufumania panda mchicha utakuwa ule mboga uongeze vitamin mwilini
 
My aknowledge...!
 
Nakupenda mchepuko wangu....
 
Huu ushafika labda wale walionyweshwa supu ya vikojoleo watusaliti maana kubwa la maaduni huko kusini kashalikoroga.
Hakika kila nafsi itaonja mauti, lakini chama kitabakia salama...
 
Mie nilifumaniwa na mama mkwe kabint form 1 mie form 4 nilikula vitasa ndani ya ghetto kila nikitafuta upenyo nipite nisepe wapiiih!! Mama kajaa mlangoni tena bonge balaa ..alitaka kuniua si kwa kunidunda kule
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom