Mmh hao waliyoyakalia hatariii
Heshima kubwa sana kuwa nalo hilo, unamkuta mzee wa kiswahili na msuli wake na fimbosiku hizi yanatolewa ki urahisi tu hayo. Wanayobaki nayo ni imani zao potofu tu na kupenda kwao.
Mambo ya heshima hayo,zamani Tanga bila ya kuwa na hiyo kitu huwezi kupata mwanamke....