Kama ulikuwa unasiki shuudia BUSHA live

Kama ulikuwa unasiki shuudia BUSHA live

Hapo ukiwajambisha ni sebene kwenda mbele.

Mkuu nimecheka sana maana kuna jamaa mtaani huku anapiga sebene la kufa mtu akijambishwa
Sasa sipati picha wakiwa wote hivyo ujambishe!
 
Nadhani kama ni maeneo ya wafugaji ni jinai kuswaga ng'ombe kwa miluzi...!
 
Nadhani kama ni maeneo ya wafugaji ni jinai kuswaga ng'ombe kwa miluzi...!

Ugonjwa huu hauelewani na kelele za vuvuzela kabisa
Hawa kuchunga hawawezi maana ukipiga mluzi lazima atimue unaweza iba mifugo kilaini
 
Huyo wa apo chini katikati lakwake litakua kg 100!
 
Back
Top Bottom