kama ulikuwa hujui ni lazima

kama ulikuwa hujui ni lazima

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
kuokoka lazima.jpg

Hii lazima hii inaniacha na maswali mengi kuliko majibu....
 
mnnnnnh jamaaaani....................haaya ndo dunia hyo
 
Yaap,ujumbe mzuri sana kwa wageni wanaotembelea hapo na wengine wanaousoma!!!
 
nimechoka kweli kweli sikufikiria hili nalo laweza kuwa jina la gest
 
kweli watu tunatofautiana-sijui owner alifikiria kitu nini mpaka akatumia hili jina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom