Kama ulikula pipi hizi na bado upo Kwa wazazi wako ujue umedumaa.

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,363
1,752
d1d9865b1dbd7d0af075e46641a7c562.jpg
 
Dah!umenikumbusha mbali sana,miaka ileeee,enzi za mwalimu (80's)kulitokea uhaba wa sukari tulizitumia sana hizo kama m~badala wa sukari.
 
Wazee kumbe tupo wengi humu.
umenikumbusha nilichukua pesa mezani na kwenda kwenye maduka yale ya serikali enzi hizo nikapewa kopo zima la pipi nikanywa zikanikifu nikatupa na kufuta mdomo kisha kwenda home. sijui ile hela waliikumbuka ama ndo ili-go and water
 
Yalikua yanaitwa Maduka ya ushirika,siku ikija Sukari full kupanga foleni,halafu unalazimishwa ukinunua Sukari lazima ununue na mchi wa sabuni ya Ilula.
 
Yalikua yanaitwa Maduka ya ushirika,siku ikija Sukari full kupanga foleni,halafu unalazimishwa ukinunua Sukari lazima ununue na mchi wa sabuni ya Ilula.
Nchi imetoka mbali aiseee, toka kwenye kupanga mstari kununua sukari, mafuta ya taa, mafuta ya kujipaka, sabuni hadi kufikia hatua ya kujisavia mahitaji mlangoni.
 
Back
Top Bottom