Kama ulikula pipi hizi na bado upo Kwa wazazi wako ujue umedumaa. | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ulikula pipi hizi na bado upo Kwa wazazi wako ujue umedumaa.

Discussion in 'Jamii Photos' started by chazy255, Jan 10, 2017.

 1. chazy255

  chazy255 JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 31, 2016
  Messages: 592
  Likes Received: 462
  Trophy Points: 80
  [​IMG]
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #21
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,281
  Likes Received: 10,913
  Trophy Points: 280
  Ulifikiri wote bado tunakojoa kitandani kama wewe??
   
 3. Ranks

  Ranks JF-Expert Member

  #22
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2,365
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Yap!hata hizo zilitumika sema zilikuwa hazikolei kwenye chai kama hizi pipi gololi.,Hizo white zilikuwa zafaa kuweka mfukoni bila kifungio sababu zilikuwa hazinati kama hizi na ndizo zilikuwa zinatumika sana pale bush kwetu kuhongea "videnish".
   
 4. CleverKING

  CleverKING JF-Expert Member

  #23
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 24, 2014
  Messages: 4,544
  Likes Received: 3,291
  Trophy Points: 280
  I LIKE IT....
   
 5. alexander paschal

  alexander paschal Member

  #24
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 9, 2017
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kweli
   
 6. alexander paschal

  alexander paschal Member

  #25
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 9, 2017
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kweli
   
 7. M

  Mgodo visa JF-Expert Member

  #26
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 516
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 80
  Pipi hizo zilikuwa lainiii na tamu kweli kweli...!! Sio kama hizi za vijiti wanakula watoto wetu ...ngumu kama jiwe....

  Nakumbuka Pipi ya kijiti enzi zile iko flati na duara kubwaa....!!

  Ice Cream inawekewa kijiti cha Chelewa...
   
 8. Ranks

  Ranks JF-Expert Member

  #27
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2,365
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Tupo wakutosha,sema wengi wameamua(siku hizi mwaita)'kunyuti'
  wameona tabu kukimbizana na vijana humu mkekani wanaochukulia kama vile ndio tumepata UHURU.
   
 9. mdetichia

  mdetichia JF-Expert Member

  #28
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 13, 2015
  Messages: 5,273
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha sana mbali chalii yangu , kulikuwa na good good, biscuits za nice, marie, wallah ya kale dhahabu sijui vile viwanda siku hizi hakuna nakumbuka hata soda za zamani zilikuwa tamu zio hizi za siku hizi enzi za mwaalimu hata ikiwa ya moto unakunywa.
   
 10. CleverKING

  CleverKING JF-Expert Member

  #29
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 24, 2014
  Messages: 4,544
  Likes Received: 3,291
  Trophy Points: 280
  Hapo ukienda dukani unaagiza kwa muuzaji "Nipe Pipi mti" halafu tulikua tunapenda za rangi nyekundu eti tulijiaminisha ndio zina Sukari zaidi..!! Mkuu unazikumbuka na Gubiti?
   
 11. mdetichia

  mdetichia JF-Expert Member

  #30
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 13, 2015
  Messages: 5,273
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Wale walee
   
 12. espy

  espy JF-Expert Member

  #31
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 29,646
  Likes Received: 23,086
  Trophy Points: 280
  Ziliniozesha meno sana hizi pipi.
   
 13. CleverKING

  CleverKING JF-Expert Member

  #32
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 24, 2014
  Messages: 4,544
  Likes Received: 3,291
  Trophy Points: 280
  Sijakusoma Mkuu?!
   
 14. Ushimen

  Ushimen JF-Expert Member

  #33
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 9,137
  Likes Received: 6,676
  Trophy Points: 280
  Mkuu.....
  Sisi wazee ukituletea tujadili PK, utakua unatutesa bure
   
 15. Ushimen

  Ushimen JF-Expert Member

  #34
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 9,137
  Likes Received: 6,676
  Trophy Points: 280

   
 16. Ushimen

  Ushimen JF-Expert Member

  #35
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 9,137
  Likes Received: 6,676
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mbali sana aiseeee......
  Niliwahi kumpatia binti peremende, ili anikubali nilipo mzoza
   
 17. Rahabu

  Rahabu JF-Expert Member

  #36
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 21, 2014
  Messages: 4,280
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Mmmmm
   
 18. CleverKING

  CleverKING JF-Expert Member

  #37
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 24, 2014
  Messages: 4,544
  Likes Received: 3,291
  Trophy Points: 280
  Mbona miguno kulikoni?
   
 19. Ng'egera

  Ng'egera JF-Expert Member

  #38
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 727
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Pipi ya vidonge
   
 20. donaldson don

  donaldson don JF-Expert Member

  #39
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 28, 2016
  Messages: 323
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Hahahahahaha daaah aisee izo pipi nakumbuka zilisababisha nikashushiwa kipigo kikali na kaka angu baada ya kwenda kuuza na hesabu ikapelea nilichezea kipigo kitakatifu.... lakini tokea hapo sikupata shoti tena...
   
 21. Kasinde

  Kasinde JF-Expert Member

  #40
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 5,982
  Likes Received: 3,512
  Trophy Points: 280
  Hahahahahhaa sijui.kwanini akili imesoma kikojoleo. .......
   
Loading...