Kama ulikula pipi hizi na bado upo Kwa wazazi wako ujue umedumaa.

Mkuu kulikua pia na zile PIPI NYEUPE,zilikua kama flat hivi hazikua na umbo la duara.
Zilikuwa kama kidonge ila zenyewe kubwa. Zilikuwa na ladha fulani hivi amaizing kama glucose vile. Ha ha haaaa. Mkuu umenikumbusha mbali sana.

Vipi, zile goody goody unazikumbuka?. Zilikuwa ni jamii ya tofi, ziko nyembamba kama batook hivi ila zilitengenezwa kwa maziwa kama sikosei. Zamani raha sana aisee
 
Umenikumbusha mbali sana aiseeee......
Niliwahi kumpatia binti peremende, ili anikubali nilipo mzoza
Unatoa tu lawalawa,barua then maneno kidoogo huku ukidai majibu ya barua yako ya kwanza.,binti akishaanza kuchanganya utamu wa pipi,mate yake mwenyewe na kidole mdomoni umemaliza unaangalia tu pori(chaka)la kusogelea.
Vipi lakini alikuwa na 'kishtobe'?
{Kumbuka tu kipindi hicho nacho wazee wanalalamika tumekua na tabia mbaya wakidai na mabinti nao wamekuwa wepesi kuachia kabla ya ndoa kama enzi zao.}
 
d1d9865b1dbd7d0af075e46641a7c562.jpg
LAWALAWA
 
Zilikuwa kama kidonge ila zenyewe kubwa. Zilikuwa na ladha fulani hivi amaizing kama glucose vile. Ha ha haaaa. Mkuu umenikumbusha mbali sana.

Vipi, zile goody goody unazikumbuka?. Zilikuwa ni jamii ya tofi, ziko nyembamba kama batook hivi ila zilitengenezwa kwa maziwa kama sikosei. Zamani raha sana aisee
Mkuu hizo Pipi nyembamba unazozisema zilikua zinaitwa GUBITI,zikikaa sana dukani zinakua ngumu kiasi.
 
Wazee kumbe tupo wengi humu.
umenikumbusha nilichukua pesa mezani na kwenda kwenye maduka yale ya serikali enzi hizo nikapewa kopo zima la pipi nikanywa zikanikifu nikatupa na kufuta mdomo kisha kwenda home. sijui ile hela waliikumbuka ama ndo ili-go and water
He he hukukutana na kipigo mkuu.
 
He he hukukutana na kipigo mkuu.
Hakuna na sidhani kama waligundua kuwa pesa imepungua pale mezani kwani mzee alikuwa na tabia za kutupia hela zote pale mezani. Niliyochukua mimi ni kama ya mboga tu wala hawakuwaza kumtafuta aliyechukua.
 
Back
Top Bottom