kama uko free mida hii.....tuchati

kama uko free mida hii.....tuchati

umeshalala sasa?....yaani ungeanzisha hata topic tuchangie au ndo zimepeperuka zote kichwani..ok poa tupo,ila sijui umenionea BaK jukwaa gani..yaani anakojibujibu watu mana simpati,ukimuona niambie...
 
Nafarijika sana nikiona vijana hadi muda huu mnashugulisha akili zenu (pamoja na ukweli kwamba wengi si wanafunzi) Siku nikikuta jamvi limekauka hasa mida ya usiku (kwa saa za madafu) huwa nawaza labda Fijana wanatesti nguvu sa Morani ati

Umeona eeeh.....big up kwa vijana wote walio macho time hizi!
 
umeshalala sasa?....yaani ungeanzisha hata topic tuchangie au ndo zimepeperuka zote kichwani..ok poa tupo,ila sijui umenionea BaK jukwaa gani..yaani anakojibujibu watu mana simpati,ukimuona niambie...

Pouwa ucjali! huyu jamaa huku hajang'aa naona amelala
 
Nimejiwekea utaratibu wangu ambao nimeuheshimu tokea nikiwa mtoto mdogo,nikawa kijana na mtu mzima...
Napenda sana kujisomea na kupata maarifa mapya kiasi kwamba wakati mmoja niliwahi kuwaza kutengeneza mazingira kwenye (then mji wangu) kwamba si watu wote wakija kwangu watakuwa interested na story zangu (verbal ) wenye interest ya kusoma wanaweza kujipa raha wenyewe na wenye interest ya kuperus as well
 
Itakuwa pouwa sana....how far have you reached up to now?
 
Sina hakika kama jibu langu ni sahihi kwa mahitaji ya swali lako ila kama ulimaanisha kitaaluma nina shahada ya Usanifu Majengo ( Bachelor of Architecture) advance PCM na Olevel nkipiga masomo saba ya arts plus Physics,Chemistry na Agriculture!
 
Haupo mbali kivile....bt nilitaka kujua hyo mipango yako ya toka utotoni imefikia wapi kwa sasa? au ndio bado hujaianza??
 
Back
Top Bottom