Ungeona sshv vidume vinakuambia uvi pm bora umeji ident fy jinsia mkuu...Pande za wapi..naona leo full mboreko..! mi A town hapa.sina ucngiz kama vp leta stori mwana mmu
Hata cwaxomi...mmechoka nn?
pouwa mkuu mie nipo kama hiv maucngizi hamunaa...!
Man moro kubwa pande zp..mi nipo khom leo na family..aisee nackek fulham na norwich SS3..na mind boli san ..mji kasoro bahari mkuu