Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,174
Tatizo watu wamejengwa kuamini kwenye fedha badala ya mipango ya maisha ambayo mwisho wa siku itakuwa maisha ambayo ni mazuri na ndio maana unakuta mtu akiwa hana ela anakuwa mwehu wakati kama una mipango mizuri hata kama ela kwa kipindi hicho zimekata lakini kuna issue za msingi unakuwa umeziweka sawa zinaendelea huku unapalanganavijana wazamani walikuwa sio wazembe ila walipewa stadi za maisha na wazazi wao,nadhani wazazi wa siku hizi kuna mahali wanakosea kuwaandaa watoto wao ususani wa kiume kupambana ,mjini hakuna mashamba ila shamba la mjini ni mipango kichwani,mjini kuna fursa nyingi zaidi ya kijijini,biashara,michezo,sanaa,vibarua,elimu nk