Kama ukitongoza mwanamke kumbe ana mtoto!?

Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige mangumi...
Wanawake tuwe na utu na watoto wetu wachanga.. nini kubemenda watoto.. wape watoto haki zao za msingi..kama kunyonyesha mpaka miezi sita bila kuchanganya vyakula.

Hapa tatizo sila mwanamke hapa tatizo nila mwanaume aliyempa ujauzito na kumtelekeza!!inamaana hapa nimesema hivyo kwakuwa kwenye reseach zangu nimekutana na mabinti wenye hali kama hizo na ukimwuliza anakwambia sina njia nyingine yakupata pesa!!nafanya hivikwa ajili ya shida na hapa nilitegemea watu watazungumzia chanzo cha tatizo lakini inaelekea wengi waliokutana na maswahiba haya wamewatendea siyo haki wale watoto!!mimi ninacho waomba wanjamii ukiona umepatwa hali kama hii msaidie yule binti na wala usifanye naye tendo hilo!
 
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku ulisha jitune unaenda kupalamia kinoma!!Je wewe utaacha au utavaa miwani ya mbao bila kujali kichanga??
Kiafrica tunajibu swali lako kama ifuatavyo; Kwani wewe ulifanyaje?
 
Gharama kitu gani wewe,msikilize kwanza akueleze kilichomsibu ili kama unaweza kumsaidi,we unawaza kurudisha gharama tu utambemenda huyo mtoto bureeee...

Hakuna kitu inaitwa kubembenda mtoto, mtoto anabemendeka kwa kukosa matunzo na lishe bora. Kuhusu huyo mdada mimi namlaumu kwa sana tu yaani mtoto mdogo ana miezi miwili unaenda tafuta mwanaume unamuacha mtoto haiingii akilini, ila huwezi jua kama alivyosema hapo juu umsikilize akueleze kilichomsibu pengine hata hela ya kula kesho yake alikua hana ndio maana akaamua kwenda tafuta maana maisha haya sometimes yanaweza kukutait mpaka ukaenda ndivyo sivyo
 
Hapa tatizo sila mwanamke hapa tatizo nila mwanaume aliyempa ujauzito na kumtelekeza!!inamaana hapa nimesema hivyo kwakuwa kwenye reseach zangu nimekutana na mabinti wenye hali kama hizo na ukimwuliza anakwambia sina njia nyingine yakupata pesa!!nafanya hivikwa ajili ya shida na hapa nilitegemea watu watazungumzia chanzo cha tatizo lakini inaelekea wengi waliokutana na maswahiba haya wamewatendea siyo haki wale watoto!!mimi ninacho waomba wanjamii ukiona umepatwa hali kama hii msaidie yule binti na wala usifanye naye tendo hilo!

kakakiiza leo umeongea pointi hakyanani wanaume mbadilike mkishazalisha watoto wa watu mjitahidi kuwapa angalau mahitaji muhimu, na wakina dada muache tabia ya kujitegezea mimba mwingine mwanaume anamwambia kabisa sina mpango wa kuzaa kwa sasa lakini mdada wapi anajibebesha tu mimba matokeo yake ndio hayo. Beba mimba ukiwa na uhakika hata baba akisepa nina uwezo wa kulea mtoto wangu
 
Watoto wengi wamitaani nisababu ya akina baba kutokubali kuwa responsible!!japo wengine ni watukutu kwakutaka kwenda njini lakini wengi vipato havitoshi!au havipo!unakuta binti mdogo mzuri unmwambia njoo yeye kwa mawazo yake anajua leo hapa nitatoka na chochote kajitune kuwa lazima nitoe ngono nipate pesa!!hivyo na washauri TNGP waende mikoani wawaelimishe kwamba unawezakupata pesa bila kutoa ngono nahii inaweza kupunguza maambukizi kwani wale mabinti walisha jitoa muhanga mioyo yao imekuwa na ganzi kwa sababu ya shida!
 
Hongera Kaka Kiiza kwakufikisha poster 1000...:A S crown-1:

na hii thread yako ya leo hatari kaka...
 
Hongera Kaka Kiiza kwakufikisha poster 1000...:A S crown-1:

na hii thread yako ya leo hatari kaka...

Asante kwakuni monitor i love this keep it up afrodenzi please can we meet??ili tushangilie huo ushindi uliouona??:whoo:angalizo msiingilie pls
 
Asante kwakuni monitor i love this keep it up afrodenzi please can we meet??ili tushangilie huo ushindi uliouona??:whoo:angalizo msiingilie pls

ok tunaweza ku meet na usijali sina mtoto wa miezi miwili lol hahah
and i will keep monitoring u... u dont need to worry bwt that...
 
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku ulisha jitune unaenda kupalamia kinoma!!Je wewe utaacha au utavaa miwani ya mbao bila kujali kichanga??

UNAKIONEA HURUMA KIUMBE AMBACHO HUJAKIUMBA? :redfaces:NA KWANN UENDE KWAKE... CHEMBA HADI ZA BUK 2 ZIPO BWEREREE..
 
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku ulisha jitune unaenda kupalamia kinoma!!Je wewe utaacha au utavaa miwani ya mbao bila kujali kichanga??

Hiyo mbona sio issue? piga picha baada ya yote hayo mnaingia ndani anakuambia yupo mwezini..................
 
well ! na kushauri jali kile kiumbe kwanza!... kama ni mimi nitamuweka chini nimpe shule haiwezekani aende club alafu amwache kitoto kichanga nyumbani tena cha miezi miwili! seriously huyo M.mke atakuwa ana matatizo ..
 
kwanza katoto hakana uhusiano na majambozi ndo maana hata yeye akakubali, niwaulize wadau kuwa kwa waliooa je mkewe akijifungua anasubiri kwa mda gani? ndo aanze kula mavituziiiii?
 
Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige mangumi...
Wanawake tuwe na utu na watoto wetu wachanga.. nini kubemenda watoto.. wape watoto haki zao za msingi..kama kunyonyesha mpaka miezi sita bila kuchanganya vyakula.

sikubaliani na wewe..................

hakina haja ya kumpiga wala kumsema... labda kama ni lazima ni kumshauri tu umuhimu wa kumuangalia mtoto kwa kiwango cha kutosha........... kuacha mtoto wa miezi miwili ndani na yeye anatanua kwenye mabaa, madanguro etc sio utu huo.............

kama ni mimi ntatamfanya rafiki tena rafiki wa muda mrefu, nitamkaribisha hata nyumbani na nitapenda na huyo mtoto akikua amlete nyumbani................. ya, najua most of you mnajua kazi ya mwanamke ni moja tu, "kukanyangwa" basi!!............. hamumuoni mwana mke kama mtu mwenye utu ndani yake, anayezaa na kulea utu na hivyo anahitaji pia kutendewa kiutu........... hamkui kabisa.............. mwenzio kukufanya rafiki yake ni moja ya social needs za binadamu yoyote so kama kuna kitu hakikuwa sawa ni suala la kumuelimisha tu, sio kumsema au kumpiga...............

hayo ya kubemenda hayajathibitika kisayansi............. no comment....................
 
LOL,
nahisi huyo dada hana malezi bora na mwanae,ila wewe kwa kuonyesha kujali we mwambie akae kwanza alee mtoto then mtatafutana siku za mbeleni.
Sio hana malezi bora kwa mtoto wake hapana anayo na ndo maana alimpeleka mshkaji home ili akiona mtoto asepe , atakua ni changu huyo lazima akuze ndo apate msosi na bila msosi hawezi pata maziwa ya mtoto, mshkaji alinunua bila kupewa bidhaa.
 
Back
Top Bottom