Kama ukitongoza mwanamke kumbe ana mtoto!?

Hapa kuna watu wana roho ngumu sana! Jaribuni kuwa na huruma kwa watoto! Si kichanga tu hata wengine kama mtu anafanya hivyo yawezana hana pesa za kukatuza hako katoto cha muhimu mwaga pesa hapo na chapa mwendo! Mbona magoma kibao tu mtaani ila hapo weka kiporo mtoto akikua nenda na kumbushia yale matumizi.Huo ndio uugwana!
 
Back
Top Bottom