Kama ukifa unapaa mbinguni mtu akifa msilie ameenda mbinguni kwanini mnalia? Kama sio hivyo, basi mnatambua kuwa suala la kwenda mbinguni ni uongo

Nendeni makaburini mkawaangalis kama wamefufuka na hawapo makaburini ? kama wapo.basi ni.uongo mmedanganywa kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au ya walio hai ?
Napenda uwasilishaji wako wa mada mkuu, huna pigo zile za Lucas Mshamba
 
source? trust me broo

Hakuna maelezo ya kimaandiko au kiushahidi nani uliona roho yake inasafiri ? mkuu upo serious roho inasafiri

unajua maana banadamu ni nini hebu soma kitabu cha mwanzo cha uumbaji kisha kasome na sayansi hivyo vitu vya kusafiri kwa roho umetoka navyo wapi ?.

mimi nina fact binadamu ni damu na nyama sio kiumbe wa roho, hata yesu alivyo uvaa ubinadamu alikwenda mbinguni na mwili wake, soma na kisa cha lazaro aliye fufuliwa na yesu je yesu alisema alisemaje kuhusu kifo alisema amelala lazaro amka kutoka kaburini inamaana mtu akifa anabaki kanurini haendi kokote. yesu alisema lazaro amelala kaburini akimaanisha ni kifo ni usingizi.

Soma biblia mkuu wangu acha kukalilishwa uongo
OK naona umeangalia kwa upande mmoja tu wa imani bila kujua ya kwamba dunia Ina imani zaidi ya moja
Kwa Wakristo ni very simple kwakuwa sehemu kubwa tunapaswa kuamini na ndio maana tuna kitabu kimoja kikuu BIBLIA
Kwenye imani zingine kuna volumes and volumes ya maandiko na wamechambua kila kitu kidogo katika ukubwa wake!
By the way roho ni nishati (energy) Tafsiri ya energy kiingereza Energy cannot be created or destroyed rather it can be transformed into other forms
Uhai wetu uko kwenye pumzi ambayo ndio energy ama roho! Kiimani kwenye ukristo Mungu aliumba mtu..( natufanye mtu kwa mfano wetu..) Kisha akampulizia pumzi ya uzima hiyo ndio nishati sasa.. Ikiachana na mwili hakuna uhai tena
Mimi ni Mkristo nimeokaka na nampenda Kristo lakini sijaacha kusoma imani zingine zilizonifunulia mengi sana!
 
Tofauti ya jehanum na kuzimu | JamiiForums Tofauti ya jehanum na kuzimu
 
source? trust me broo

Hakuna maelezo ya kimaandiko au kiushahidi nani uliona roho yake inasafiri ? mkuu upo serious roho inasafiri

unajua maana banadamu ni nini hebu soma kitabu cha mwanzo cha uumbaji kisha kasome na sayansi hivyo vitu vya kusafiri kwa roho umetoka navyo wapi ?.

mimi nina fact binadamu ni damu na nyama sio kiumbe wa roho, hata yesu alivyo uvaa ubinadamu alikwenda mbinguni na mwili wake, soma na kisa cha lazaro aliye fufuliwa na yesu je yesu alisema alisemaje kuhusu kifo alisema amelala lazaro amka kutoka kaburini inamaana mtu akifa anabaki kanurini haendi kokote. yesu alisema lazaro amelala kaburini akimaanisha ni kifo ni usingizi.

Soma biblia mkuu wangu acha kukalilishwa uongo
(1,975) Ni wakati gani wafu hufika kuzimu? | Page 7 | JamiiForums Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?
 
source? trust me broo

Hakuna maelezo ya kimaandiko au kiushahidi nani uliona roho yake inasafiri ? mkuu upo serious roho inasafiri

unajua maana banadamu ni nini hebu soma kitabu cha mwanzo cha uumbaji kisha kasome na sayansi hivyo vitu vya kusafiri kwa roho umetoka navyo wapi ?.

mimi nina fact binadamu ni damu na nyama sio kiumbe wa roho, hata yesu alivyo uvaa ubinadamu alikwenda mbinguni na mwili wake, soma na kisa cha lazaro aliye fufuliwa na yesu je yesu alisema alisemaje kuhusu kifo alisema amelala lazaro amka kutoka kaburini inamaana mtu akifa anabaki kanurini haendi kokote. yesu alisema lazaro amelala kaburini akimaanisha ni kifo ni usingizi.

Soma biblia mkuu wangu acha kukalilishwa uongo
Waliopo kuzimu sio marehemu | Page 3 | JamiiForums Waliopo kuzimu sio marehemu
 
OK naona umeangalia kwa upande mmoja tu wa imani bila kujua ya kwamba dunia Ina imani zaidi ya moja
Kwa Wakristo ni very simple kwakuwa sehemu kubwa tunapaswa kuamini na ndio maana tuna kitabu kimoja kikuu BIBLIA
Kwenye imani zingine kuna volumes and volumes ya maandiko na wamechambua kila kitu kidogo katika ukubwa wake!
By the way roho ni nishati (energy) Tafsiri ya energy kiingereza Energy cannot be created or destroyed rather it can be transformed into other forms
Uhai wetu uko kwenye pumzi ambayo ndio energy ama roho! Kiimani kwenye ukristo Mungu aliumba mtu..( natufanye mtu kwa mfano wetu..) Kisha akampulizia pumzi ya uzima hiyo ndio nishati sasa.. Ikiachana na mwili hakuna uhai tena
Mimi ni Mkristo nimeokaka na nampenda Kristo lakini sijaacha kusoma imani zingine zilizonifunulia mengi sana!
sijakupa fact ya ukristo tu nimekupa na sayansi kifo ni usingizi ni sawa na kulala kwasababu hauogi hauli damu inaganda kisayansi hapo mwili huaribika lakini wewe unakuwa umelala ndio kifo.

Inamaana unategemea mtu akifa anenda kuzimu inamaana hafi hebu jaribu kufikiria nje ya box fuata fact sio imani na hisia nini mwisho wa mtu kama akifa ni bado anaishi kuzimu what's next ? je binadamu ni nani ? ni vitu gani vinamfanya aitwe bindamu

mkuu wangu mimi nakuambia fact sio hisia sasa fanya kufikiria nje ya box nenda ukapitie upya ujue binadamu ni nani na ameundwa na nini hizo dhana za kwenda kuzimu hayupo aliye wai kwenda huko hakuna fact vipi kama ulidanganywa utajuaje ? fuata fact mkuu wangu kwa hapo umeniangusha sana great thinker.

Unaamini kwenye nothing?
 
Kama ukifa unapaa mbinguni mtu akifa msilie ameenda mbinguni kwanini mnalia ? kama sio hivyo basi mnatambua kuwa suala la kwenda mbinguni ni uongo.

Nendeni makaburini mkawaangalis kama wamefufuka na hawapo makaburini ? kama wapo.basi ni.uongo mmedanganywa kwani mbinguni ni sehemu ya wafu au ya walio hai ?
Watu wanalia kwa kuwa mpendwa wao kaenda mbinguni au ni kwa sababu hawatamuona na kuwa naye kama walivyozoea? Wana haja gani ya kufukua makaburi wakati wanajua walichozika? Kinachomtoka binadamu ni roho au ni mwili?
 
Waache wachomwe hao mafisadi na wasifufuke kabisa...Kwanza kwao wapo wengi sana....Wachomwe tu.Wameharibu sana nchi zetu hao wabaguzi, waendelee kuwa barbequed...na waive kabisa.
Wewe fanya kazi ili upunguze chuki ndani yako, they owe you nothing ka vipi nawe kuwa wao ka rahisi.
 
sijakupa fact ya ukristo tu nimekupa na sayansi kifo ni usingizi ni sawa na kulala kwasababu hauogi hauli damu inaganda kisayansi hapo mwili huaribika lakini wewe unakuwa umelala ndio kifo.

Inamaana unategemea mtu akifa anenda kuzimu inamaana hafi hebu jaribu kufikiria nje ya box fuata fact sio imani na hisia nini mwisho wa mtu kama akifa ni bado anaishi kuzimu what's next ? je binadamu ni nani ? ni vitu gani vinamfanya aitwe bindamu

mkuu wangu mimi nakuambia fact sio hisia sasa fanya kufikiria nje ya box nenda ukapitie upya ujue binadamu ni nani na ameundwa na nini hizo dhana za kwenda kuzimu hayupo aliye wai kwenda huko hakuna fact vipi kama ulidanganywa utajuaje ? fuata fact mkuu wangu kwa hapo umeniangusha sana great thinker.

Unaamini kwenye nothing?
Hivi ni fact zipi unazozungumzia? Mwili huu ni jumba la muda tuu liharibikao haraka sana! Maisha ya uzima ni roho isiyokufa!
Kifo sio kulala usingizi .

Ithibati au uthibitisho wa kifo kisayansi (medical certification of death) hufanyika kupitia uchunguzi wa kitaalamu wa kliniki ili kubaini ikiwa mifumo muhimu ya mwili imeacha kufanya kazi kabisa.
Zifuatazo ni njia kuu zinazotumika kuthibitisha kifo kisayansi:
1. Kifo cha Kliniki (Clinical Death)
Hii ni hali ambapo mapigo ya moyo na upumuaji vimesimama. Madaktari hukagua alama zifuatazo:
Kupotea kwa Mapigo ya Moyo: Hakuna mapigo yanayohisiwa kwenye mishipa ya carotid (shingoni) au radial (mkononi).
Kukoma kwa Upumuaji: Hakuna hewa inayoingia au kutoka mapafuni.
Kutanuka kwa mboni za macho: Mboni hazichezi wala kuitikia mwanga (fixed and dilated pupils).
2. Kifo cha Ubongo (Brain Death)
Hata kama moyo unaweza kuendelea kusukumwa na mashine, mtu anachukuliwa kuwa amekufa kisayansi ikiwa ubongo umekufa kabisa. Hii inathibitishwa na:
Kukosekana kwa 'Reflexes': Hakuna mwitikio wa kikohozi, kutapika, au kuitikia maumivu makali.
Apnea Test: Mgonjwa anashindwa kupumua mwenyewe hata kama kiwango cha kaboni daioksaidi kikiongezeka mwilini.
EEG (Electroencephalogram): Kipimo hiki kikionyesha "mstari mnyofu" (flat line), inamaanisha hakuna mawasiliano ya umeme kwenye ubongo.
 
Wanasema miili itafufuliwa, haya ya wahindi wanao chomwa moto mta itoa wapi?
Huko mbali vipi kuhusu Jirani aliye mezwa na chatu

Na yeye mwili wake utafufuliwa!?

Na yeye atakutana na adhabu ya kaburi kama waislam wanavyosema !? Mbona mafundisho Yao yamejaa uongo uongo sana ,
 
Kuna Sheikh mmoja aliniambia kwa jinsi sisi binaadamu tulivyo na roho mbaya na ubinafsi ,tungekuwa tunajua 100% peponi ni raha ya kufa mtu hakika tusingeambiana tutende mema na kumtumikia Mungu ili tuende peponi lazima tungebaniana ,hatuna uhakika ndiyo maana tunaambiana kinafiki.

kama mambo madogo tu ya kidunia ambayo hafafiki raha hata chembe za peponi tunabaniana iweje tutakiane mema ya peponi? Mbona misikitini /makanisani hawatangaziani michongo kama wanavyofanya kwenye mawaiza?
Logic
 
Back
Top Bottom