Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,934
- 95,301
Faguy samai, darmluta segiy.What tf is Faguy samai???? Andika kiswahili, English au French acha kuandika kabila lako.....Are you on drugs, you retarded fag?
Faguy samai, darmluta segiy.What tf is Faguy samai???? Andika kiswahili, English au French acha kuandika kabila lako.....Are you on drugs, you retarded fag?
Utapeli n mwingi mno 😂Tuliambiwaga mbinguni ni juu kulee mawinguni, sasa ndege za Warusia na waamerika zinapita huko....hazijawahi kuona mbingu.....Watu tunapaswa tuambiwe ukweli inakuwaje tunazikwa ardhini halafu tunapaa? Au ndiyo hao UFO?
Kwako mwenyewe, kwa baba yako, na family yako yote. Wajinga ninyi.Faguy samai, darmluta segiy.
Faguy samai, kerlin andei osmapus fwegKwako mwenyewe, kwa baba yako, na family yako yote. Wajinga ninyi.
sijakupa fact ya ukristo tu nimekupa na sayansi kifo ni usingizi ni sawa na kulala kwasababu hauogi hauli damu inaganda kisayansi hapo mwili huaribika lakini wewe unakuwa umelala ndio kifo.OK naona umeangalia kwa upande mmoja tu wa imani bila kujua ya kwamba dunia Ina imani zaidi ya moja
Kwa Wakristo ni very simple kwakuwa sehemu kubwa tunapaswa kuamini na ndio maana tuna kitabu kimoja kikuu BIBLIA
Kwenye imani zingine kuna volumes and volumes ya maandiko na wamechambua kila kitu kidogo katika ukubwa wake!
By the way roho ni nishati (energy) Tafsiri ya energy kiingereza Energy cannot be created or destroyed rather it can be transformed into other forms
Uhai wetu uko kwenye pumzi ambayo ndio energy ama roho! Kiimani kwenye ukristo Mungu aliumba mtu..( natufanye mtu kwa mfano wetu..) Kisha akampulizia pumzi ya uzima hiyo ndio nishati sasa.. Ikiachana na mwili hakuna uhai tena
Mimi ni Mkristo nimeokaka na nampenda Kristo lakini sijaacha kusoma imani zingine zilizonifunulia mengi sana!
Na wewe ukiwa mmojawapo.