Kama ugomvi ulikuwa wa Ruge na Makonda, TEF mliingiaje? ni lini mmenza usuluhishi wa Migogoro?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Huu ni utapeli wa Fikra,

Watanzania tumetapeliwa Mawazo hapa, haiwezekani ugonvi Binafsi ukafanywa wa Tasnia.
Makonda alivamia Chombo cha Habari, Leo watatuletea vipi usuruhishi wa Watu? angevamiva Ruge si wangetwambia ni Ruge ndio kavamiwa sio Clouds,

Aibu sana
 
Back
Top Bottom