Dr. Mwigulu Nchemba
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 416
- 2,037
Mkuu unakumbuka post ya jana ya molemo alivyoandika kituko hii ya mwigulu mnona inahoja nzito sana.Kwa hali ya kawaida, haitegemewi Naibu Katibu Mkuu wa chama tawala, tena anayejinadi msomi, angeweka post kama hii. Sasa akina Malaria Sugu na Ritz watapost kitu gani?
Mbowe amekaa madarakani awamu mbili kwa sasa anagombania awamu ya tatu ndiyo maana watu wamemchoka hawataki kumuona.Huyu naye Pimbi kweli kweli, Mbowe hajakaa madarakani kwa miaka 10 kama hao wa CCM , huyu mbona Hasemi Nyerere alikua muda gani au ndio mmemfuta kwenye historia ya wenyeviti wa CCM ?
Halafu analinganisha walevi , eti kuna Mlevi ambaye ni afadhali.......kazi kweli. Kama huyu ndio naibu katibu mkuu wa CCM Taifa ........
"I SAW THE FEATURE AND IT WORKS"
Bora watu wote watoke kwenye chama, Bora watu wote wafe, Bora machafuko yatokee nchi nzima, LAKINI KITI HIKI KISITOKE. Angalia MWENYEKITI WA CCM= ALLY H MWINYI, Wenyeviti kwa upinzani walewale; MWENYEKI CCM (BENJAMINI MKAPA 10years) = kwa vyama vya upinzani Walewale; Mwenyekiti CCM (JAKAYA KIKWETE 10 years)= kwa upinzani walewale. Anakuja MKT MPYA CCM 2017-2027) KWA UPINZANI walewale MPAKA WAZEKE WAFIE MADARAKANI. Huo ni uenyekiti tu, Je watu hao wakipata URAIS WA NCHI wakaonja IKULU, NI KITU GANI KITAWAZUIA KUBADILI KATIBA ILI WABAKI IKULU MPAKA WAFIE HUKO? HAWANA MAZOEA YA KUACHIA KITI.
Nilishawajua siku nyingi. Polepole Mtawajua tu.
Mbowe amekaa madarakani awamu mbili kwa sasa anagombania awamu ya tatu ndiyo maana watu wamemchoka hawataki kumuona.
wewe ni kilaza mambo ya chadema yanakuhusu nini??????