Kama uenyekiti ndio hivi, wakionja urais watafia Ikulu

Dr. Mwigulu Nchemba

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
416
2,037
1488314_185131778355725_308368871_n.jpg

"I SAW THE FUTURE AND IT WORKS"

Bora watu wote watoke kwenye chama, Bora watu wote wafe, Bora machafuko yatokee nchi nzima, LAKINI KITI HIKI KISITOKE. Angalia MWENYEKITI WA CCM= ALLY H MWINYI, Wenyeviti kwa upinzani walewale; MWENYEKI CCM (BENJAMINI MKAPA 10years) = kwa vyama vya upinzani Walewale; Mwenyekiti CCM (JAKAYA KIKWETE 10 years)= kwa upinzani walewale. Anakuja MKT MPYA CCM 2017-2027) KWA UPINZANI walewale MPAKA WAZEKE WAFIE MADARAKANI. Huo ni uenyekiti tu, Je watu hao wakipata URAIS WA NCHI wakaonja IKULU, NI KITU GANI KITAWAZUIA KUBADILI KATIBA ILI WABAKI IKULU MPAKA WAFIE HUKO? HAWANA MAZOEA YA KUACHIA KITI.

Nilishawajua siku nyingi. Polepole Mtawajua tu.

Ushaanza nanihii zak sasa, umengoja kumepoa poa ndio unajitokeza eti unajiita National Figure!!! Haya imeshinda furahi ssa but CDM will always be there be it rain or sun
 
Huyu naye Pimbi kweli kweli, Mbowe hajakaa madarakani kwa miaka 10 kama hao wa CCM , huyu mbona Hasemi Nyerere alikua muda gani au ndio mmemfuta kwenye historia ya wenyeviti wa CCM ?

CHADEMA kina umri wa miaka 22 wenyeviti wa Taifa 3, CCM ina umri wa miaka 52 wenyeviti wa taifa 4, hata kuhesabu hujui? Tafuta ratio.....

Halafu analinganisha walevi , eti kuna Mlevi ambaye ni afadhali.......kazi kweli. Kama huyu ndio naibu katibu mkuu wa CCM Taifa ........
 
Kwa hali ya kawaida, haitegemewi Naibu Katibu Mkuu wa chama tawala, tena anayejinadi msomi, angeweka post kama hii. Sasa akina Malaria Sugu na Ritz watapost kitu gani?
Mkuu unakumbuka post ya jana ya molemo alivyoandika kituko hii ya mwigulu mnona inahoja nzito sana.
 
Huyu naye Pimbi kweli kweli, Mbowe hajakaa madarakani kwa miaka 10 kama hao wa CCM , huyu mbona Hasemi Nyerere alikua muda gani au ndio mmemfuta kwenye historia ya wenyeviti wa CCM ?

Halafu analinganisha walevi , eti kuna Mlevi ambaye ni afadhali.......kazi kweli. Kama huyu ndio naibu katibu mkuu wa CCM Taifa ........
Mbowe amekaa madarakani awamu mbili kwa sasa anagombania awamu ya tatu ndiyo maana watu wamemchoka hawataki kumuona.
 
Sasa mwigulu nchemba eti yeye ndo reporter wa habari za chadema! Jamani nchi yetu hii inaelekea wapi? Rais yupo? Nakuchukia sana wewe mtu!
 
1488314_185131778355725_308368871_n.jpg

"I SAW THE FEATURE AND IT WORKS"
Bora watu wote watoke kwenye chama, Bora watu wote wafe, Bora machafuko yatokee nchi nzima, LAKINI KITI HIKI KISITOKE. Angalia MWENYEKITI WA CCM= ALLY H MWINYI, Wenyeviti kwa upinzani walewale; MWENYEKI CCM (BENJAMINI MKAPA 10years) = kwa vyama vya upinzani Walewale; Mwenyekiti CCM (JAKAYA KIKWETE 10 years)= kwa upinzani walewale. Anakuja MKT MPYA CCM 2017-2027) KWA UPINZANI walewale MPAKA WAZEKE WAFIE MADARAKANI. Huo ni uenyekiti tu, Je watu hao wakipata URAIS WA NCHI wakaonja IKULU, NI KITU GANI KITAWAZUIA KUBADILI KATIBA ILI WABAKI IKULU MPAKA WAFIE HUKO? HAWANA MAZOEA YA KUACHIA KITI.
Nilishawajua siku nyingi. Polepole Mtawajua tu.

Petty politics at its best.Katiba inasemaje?

Kwanza huko CCM ni Lini Mwenyekiti wa Chama alishawahi kupingwa kwenye uchaguzi?Uchaguzi wa Mwaka jana alipambana na nani?

Jenga hoja kisomi acha siasa za kitoto kaka.
 
hahahhaha hvyi vichekesho sana naibu katibu mkuu anahangaika na habar za chama pinzan
 
Duh mbwane unatumia Maghai siku hizi? Heading na kilicho ndani nimeshiba kabisa!
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom