Dr. Mwigulu Nchemba
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 416
- 2,037
"I SAW THE FUTURE AND IT WORKS"
Bora watu wote watoke kwenye chama, Bora watu wote wafe, Bora machafuko yatokee nchi nzima, LAKINI KITI HIKI KISITOKE. Angalia MWENYEKITI WA CCM= ALLY H MWINYI, Wenyeviti kwa upinzani walewale; MWENYEKI CCM (BENJAMINI MKAPA 10years) = kwa vyama vya upinzani Walewale; Mwenyekiti CCM (JAKAYA KIKWETE 10 years)= kwa upinzani walewale. Anakuja MKT MPYA CCM 2017-2027) KWA UPINZANI walewale MPAKA WAZEKE WAFIE MADARAKANI. Huo ni uenyekiti tu, Je watu hao wakipata URAIS WA NCHI wakaonja IKULU, NI KITU GANI KITAWAZUIA KUBADILI KATIBA ILI WABAKI IKULU MPAKA WAFIE HUKO? HAWANA MAZOEA YA KUACHIA KITI.
Nilishawajua siku nyingi. Polepole Mtawajua tu.