Kama Tundu Lissu anaandika Vitabu kwa ajili ya UN na EU basi uwezo wake Kiakili ni mkubwa sana. Nimewaona Waandishi wa Ulaya walivyo Akili Kubwa!

Umesahau bungeni tulikuwa tunalitegemea kukiwa na mambo ya msingi.

Kumbuka wakati wa mama Makinda bongo ukiwa na uwezo unakua adui, maana unahatarisha nafasi ya bosi
 
Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji...
Lissu sio wa level yenu enyi Lumumba ndio maana mlimiminia mvua za risasi ili asiendelee kuwanyima usingizi
 
Hayo ndio malipo kwa mabeberu baada ya kukabidhiwa kazi kubwa na kuifanya vizuri
 
kitendo Cha kushinda ubunge marambili Kanda ya Kati Tena in rural area Hilo tu ukiachana namengine yote huyu jamaa namwona ni mtu mwingine achana na ushindi wa risasi nasema kushinda ubunge
 
Back
Top Bottom