bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 387
Kujenga nchi hasa hizi za ukanda wetu Africa mashariki kunahitaji roho ngumu na udhubutu, nchi hiz zimebahatika kuwa na Mali nyingi za asilia ambazo zimekuwa ngumu sana kupatikana nchi zilizoendelea hivyo hutumia ushawishi mkubwa au kwashinikizo kubwa ili kuiteka serikali kwa kutumia wananchi wasio na upendo wa nchi hizo kwa kushikilia uchumi wa nchi hizo mikononi mwao , watu hawa wanaweza kuja na kofia ya siasa , biashara, udin,. Ikitokea serikali ikajalibu kuwadhibiti watu hawa kelele ztapgwa ndan na nje ya nchi hiyo kutafuta njia mbadala za kuiyumbisha kiuchumi kwa manufaa ya wachache. JIULIZE CONGO, SUDAN, BRUNDI NI NCHI AMBAZO KWA MACHO YANGU ZIPO VTAN KUKAMILISHA MIPANGO YA NCHI ZINGNE KUACHA WANANCHI WAKIISHI KWA TAABU SANA,, RWANDA NI NCHI ILIYOWEZA KUSHINDA VISHINDO HIVYO NA TUNAIONA INAPOELEKEA, KENYA WAMEBANWA SANA ILA NAONA KAMA WANAELEKEA KUSHINDA VITA HYO,, NCHI YETU IMEBAHATIKA KUPATA MARAIS SMART TANGU UHURU,, ILI KUVUKA HAPA TULIPO YATUPASA KUTO SIKILIZA KELELE zisizo na mtazamo chanya na serikali yetu,, ndg Rais hamin mahamuz yako na yafanyiwe kaz chondechonde usigeuke kuwa jiwe,, kelele za chura hazna mashiko,,, Tanzania, Tanzania tunakuombeaaa