EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Ni opportunity kuwa ITV na vituo vingine.
Nakumbuka mwanzo TV karibu zote zilikuwa zinarusha bunge live, serikali ika monopolies kwa TBC 1 na Star TV, vituo vingine kama ITV, Channel 10 viliomba vikanyimwa.
Kwa vile serikali inaona ni gharama kubwa kwa TBC kurusha live basi iviruhusu vituo vingine virushe.
Wananchi tunachotaka ni kuwaona live wawakilishi wetu wakichangia, kama ni pumba tutazichambua sisi na sio serikali ituchambulie kwa kutuletea kipindi cha Bungeni leo kilicho editiwa