Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Tarehe 01 January Kila mwaka dunia nzima tunasherehekea sikukuu ya mwaka mpya.
Serikali yetu inatambua uwepo wa sikukuu hii ya mwaka mpya ndio maana imeamua iwe ni siku ya mapumziko.
Kwanini serikali isianze mwaka wake wa fedha tarehe 01 January na badala yake inaanza 01 July?
Je huo mpango wa 01 July Nini chimbuko lake?