Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma. Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana ktk ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapo enda sokon kununua kiredio cha tsh 5k kwa 20k ndipo utajuwa yapo mambo sio yakufanya utani.
USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutaman kuona WB wanatunyima hiz pesa.
USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500M
ungetupooza kiukweli.
let us pray for this nation