Kama taifa tusali Benki ya Dunia itupe $500M

Kila siku mnawapiga watukana wakejeli wapinzani kwamba ni watu wa hovyo wajinga hawawezi kufanya chochote na kama wanabisha wajaribu leo barua tu ya zito ya kuomba ka mkopo kadogo kasitishwe mnamaliza maneno yote mabaya kusema je siku wakiamua jino kwa jino mtalia kilio gani? Ccm hebu tambueni kwamba kila mtanzania mmojammoja anamchango mkubwa kwa taifa hili acheni kudharau wengine
 
Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.

Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.

USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.

USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.

Let us pray for this nation.
Hahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu acha utani yaani taifa zima liombe mkopo alafu wale ccm pekeee ? hata hivyo sio sahihi kuomba kwa MUNGU ili tupewe mkopo tu , kwa nini tusiombe kwa MUNGU ili tusikope tena tuendeleee kuwa dona kantreee
 
Mungu hasikii maombi ya wenye dhambi
Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.

Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.

USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.

USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.

Let us pray for this nation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.

Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.

USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.

USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.

Let us pray for this nation.
Serikali ya awamu ya tano ni sawa na baba maskini anayekuwa na upendo kwa familia wakti akiwa maskini na kuwalisha watoto mihogo na maharage kila siku. Siku akizipata pesa anakimbilia mjini kutapanya oesa kwa starehe na wanawake wa mjini. Familia kama hii huimombea baba yake bora akose pesa waishi kama zamani tu.
 
Back
Top Bottom