Ndugu zangu kuna wakati yatupasa kuacha siasa maji taka nakuliangalia taifa kwa jicho la huruma.
Hizi pesa serikali imeziomba WB ni pesa ambazo zitatusaidia sana katika ku balance our Balance of payment kwasababu sisi tuna import more than export mnaweza cheka na kupeana heko ila wote tutaumia na tusiwe wapumbavu kufurahia jambo hili pale utakapoenda sokoni kununua kiredio cha Tsh 5k kwa 20k ndipo utajua yapo mambo sio ya kufanya utani.
USD inapanda kwa speed kubwa hii sio picha nzuri sasa tusiwe wajinga kutamani kuona WB wanatunyima hizi pesa.
USD kwa sasa imefika 2327 ina maana batch ya mafuta ijayo wese litapanda sio kushuka sasa huu mkopo wa $500MUngetupooza kiukweli.
Let us pray for this nation.