habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Nyie wanachama wa CCM acheni upuuzi wenu, zama za ujinga zishapita watu wanajielewa, TBC sio ya CCM, sio Mali yenu,
Kama issue ni kubana matumizi mawaziri wote watume Magari ya rava4 kama Rwanda pia mbio za mwenge zifutwe, Serikali ihamie Dodoma maana wafanyakazi wengi wanapoteza mda mwingi kwenye foleni.Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.
Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?
Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.
Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.
Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
Nimesema BBC sababu bbc kwa UK ni kama TBC kwa Tanzania mara zingine uwe unasoma kwanza msg yako kabla ya kupost ili ilete maana ama sivyo wewe na wale waliokuwa wanadwki barabara ya vumbi hutatofautiana nao.Kwahiyo unadhani Waingereza wanaangalia BBC tu?Nina uhakika pia kule kwa Obama unaijua CNN News tu!pole sana.
Ni Tanzania pekee ambapo Harusi inarushwa "LIVE" kwenye Television ya Taifa lakini Bunge linakua "Recorded". Ni Tanzania pekee ambapo serikali inazuia Bunge kurushwa LiVE kwà hoja "dhaifu" ya kubana matumizi wakati uchaguzi Zanzibar unarudiwa kwa Shilingi Bil 9. Ni Tanzania pekee ambapo Polisi wenye Mbwa wanaingia Bungeni kudhibiti Wabunge lakini wahujumu uchumi wanabembelezwa kwa kupewa miezi miwili. Nadiriki kusema serikali ya JPM ni ya "hovyo" kuliko serikali zote zilizowahi kutokea duniani. #Shame_Indeed.!Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.
Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?
Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.
Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.
Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
Huyo jamaa nafikiri akili kaisahau buyenzeUnauhakika huyo Deo Lunjombe alikua mbunge!?
au ndo ashki zimekushika
Huoni kama una support post yangu indirectly?Mleta mada elewa kuwa kila jamii na mahitaji yake,wakati wamisri wanalala barabarani kwa kupinga bei ya kupanda
Kkwa mkate sidhani kama hilo linaweza kkutokea Tanzania, wakat wafaransa wanatishia kuingia mtaani kuaandamana kupinga waziri mmoja kumpandisha mwanae kwenye ndege ya serikali wakidai naye alipe nauli kama sisi na wakipinga matumizi mabaya ya madaraka, sidhani kama hilo linaweza kutokea TZ, na kesho yake waziri akaenda kulipa ili kunusuru ajira yake.kuilinganisha TZ na nchi za ulaya nahisi uelewa wako ni finyu.
Uelewa mdogo, siasa hamzijui haki za raia hamjui, vp wa tanganyika.Hata mm sioni faida ya lile jengo la bunge kule dodoma. Bora wabomoe tu ili wabunge wabaki majimboni kwao na wananchi
Asante kwa kujibu kwa fasaha. Lakini kama sikosei waziri anayehusika amesema tbc wata record na kutuonyesha baadae si bado huo uhuru wako utatimizwa? Kwanini utumie mamilioni bila mpango ati sababu katiba inasema?
Una matatizo makubwa sana ya Akili,wala sikushangai na sikutarajia any sense kwenye response yako. Nothing good will ever come out of you! Endeleeni kuteteana kundi la VIWAVI!Pumba tupu na sijaweza kusoma andiko lako lote...acha kujaza server ya JF kama huna la maana la kuchangia.
Kwanza, hakuna mahali katiba imevunjwa...kama ni taarifa basi tutapata taarifa zote katika kipindi cha "Bungeni Leo".
Pili, Kama mnataka Bunge lirushwe LIVE nendeni TBC mkalipie gharama za kurushia matangazo LIVE...ni bilioni 4 tu kwa siku moja.
Tatu, wananchi wengi wanataka serikali ijikite kwenye kutimiza ahadi zake na sio kuona serikali inatumia pesa nyingi kwa mambo yasiyo ya kipaumbele.....bunge kurushwa LIVE ni anasa. Kama mlipa kodi sipo tayari kuona pesa yangu inatumika kufanya anasa isiyokuwa na tija yoyote kwa wananchi walio wengi.
Hahahha kweli unywaji bia kupita kiasi ni hatari kwa afya yako...Lofa kama wewe siwezi bishana na wewe haujui nachokisema
Baadhi ya wabunge wanatafuta umaarufu na wajulikane kupitia luninga ndo njia rahisiNimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.
Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?
Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.
Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.
Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
Bora angeisahau... hana kabisa!!! Maana naona anazidi kulazimisha mbunge wake lunjombe alikuepoHuyo jamaa nafikiri akili kaisahau buyenze
Mkuu hiyo siyo bia ya ilala bali ni ya kule buyenziHahahha kweli unywaji bia kupita kiasi ni hatari kwa afya yako...
Ushachanganyikiwa hivyo