Kama Siyo Katiba Ilipaswa Rais Samia aendelee kuongoza Taifa hili Mpaka achoke mwenyewe. Ama Watanzania Tubadilishe Katiba Kumpa Nafasi ya kuendelea

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,351
Reaction score
23,758
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Taifa tunachohitaji ni maendeleo pekee na ustawi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla wake. Tunachohitaji ni kuona miundombinu ya barabara ikijengwa,huduma bora za afya ,Elimu ,ajira kwa vijana ,umeme wa uhakika mijini na vijijini,uwepo wa maji safi na salama. Mazingira bora ya biashara kwa wafanyabishara wakubwa kwa wadogo.

Usalama wa Taifa na amani ya kutosha, haki na usawa mbele ya sheria,nidhamu kwa watumishi wa umma na wenye moyo wa kufanya kazi na kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo na kujitoa. Kama Taifa tunahitaji kuona mgawanyo sawa wa rasilimali za Taifa ama keki ya Taifa.

Hatuhitaji tu kuona mabadilishano ya sura za watu kila baada ya miaka kumi bila mabadiliko Chanya katika maisha ya kila siku ya watu. Kiufupi tunataka maendeleo ya watu na vitu tena maendeleo yenye kuonekana na kumgusa kila mtanzania bila kuhadithiwa.

Sasa Ukirejea na kuangalia namna Rais Samia anachoongoza Taifa letu na Mambo aliyoyafanya katika uongozi wake unaona ametimiza kiu na matarajio ya watanzania kwa kiasi na kiwango kikubwa kabisa. Ametimiza yake yote yaliyokua mahitaji ya watanzania.

Ni Rais Samia ameleta na kuwezesha Elimu bure mpaka kidato cha sita huku mikopo kwa Elimu ya juu ikitolewa kwa wanafunzi wooote wanaofaulu na kukidhi vigezo. Ni Rais Samia anayetoa maelfu kwa maelfu ya ajira kila mwaka baada ya miaka kadhaa ya vijana kuhangaika mitaani bila ajira wala matumaini ya kupata ajira.

Ni Rais Samia ameongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja kutoka Billion mia 2 na hivyo kuinua maisha ya watu na kupunguza umaskini wa mtu mmoja mmoja hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa asilimia kubwa ya watanzania wamejiajiri katika kilimo.

Ni Rais Samia Ameweka mazingira mazuri ya biashara ambapo sasa huwezi kukuta mfanyabiashara akifungiwa kufuri katika biashara yake ama kuchotewa pesa zake kwenye akaunti yake. Ndio maana ilifika hatua akasema anataka kodi lakini siyo kodi za Dhuruma. Na katika kutimiza hilo aliunda hadi tume ya kuchunguza mfumo mzima wa mazingira ya biashara na kikodi .

Ni Rais Samia amejenga Bwawa la mwalimu Nyerere lenye kuzalisha Megawati 2115 na hivyo kuwezesha umeme kupatikana saa 24 na kupelekea shughuli mbalimbali za kiuchumi kufanyika muda wote na hivyo kukuza kipato cha Watu Hususani vijana.

Ni Rais Samia amejenga mahospitali na vituo vya afya kila kona zaidi ya 300 Nchini ili kupunguza umbali wa wananchi kutembea kwenda kutafuta na kupata huduma za afya. Ndio sababu hata vifo vya Mama na mtoto vimepungua na hata kupongezwa na umoja wa Afrika kwa Hatua zake za kupambana vifo vya Mama na Mtoto.

Ni Rais Samia amejenga shule na vyumba vya madarasa zaidi ya Elfu 20 Nchini kote na hata kupelekea wanafunzi wote wanaofaulu kidato cha kwanza kuendelea na Masomo na kuripoti kwa wakati mmoja tofauti na zamani ambapo wengine walifaulu na kukosa nafasi ya kusoma ama kwenda shule majira ya kiangazi awamu ya pili na wengine kuishia kuolewa Tu kwa watoto wa kike.

Ni Rais Samia Ameimarisha demokrasia,uhuru wa habari,kudumisha amani ,umoja , mshikamano na umoja wa kitaifa. Ni Rais Samia amerejesha Heshima ya Taifa letu kimataifa na ndio sababu kila nafasi tuliyoweka mgombea tuliibuka kidedea kama ilivyotokea kwenye kushindania Urais wa IPU inayoshikilia na Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Uyole pamoja na nafasi ya Ukurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika inayoshikilia na Profesa Mohamed Janabi.

Ni Rais Samia ambaye amejenga na anaendelea kujenga Miundombinu ya barabara kila kona ya nchi hii Maska na kiangazi. Kwa sasa kila kona ya nchi hii ni miradi ya maendeleo unaoja ikiendelea kujengwa kwa kasi kabisa bila kukwama ama kusuasua na wakati huo huo hakuna mwananchi anayechangishwa michango ya ujenzi.

Ni Rais Samia amepandisha mishahara kwa watumishi wa umma , kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahili zao.kutoa nyongeza ya mishahara ya kila mwaka na hivyo kuongeza morali ya kazi kwa watumishi wa umma na hivyo wananchi kupata huduma bora na stahiki kutoka kwa watumishi wa umma.

Sasa mnataka nini kingine fanya Mama yetu watanzania wenzangu? Mnataka awafanyie nini Rais wetu ? Kipi hajafanya ama Kugusa ama kukiweka katika mipango kile ambacho mlihitaji kwa miaka mingi ndugu zangu watanzania? Nini hajasikiiza ? Nani hajasikilizwa? Nani hajafikiwa na mkono wa huruma na upendo wa Rais wetu Mpendwa? Nani hajisikii fahari kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania?

Je hamuoni tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Rais wetu na hata ikibidi kubadilisha katiba ili Rais wetu aendelee kuliongoza Taifa letu?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unakumbuka Nyerere alisema nini kuhusu wale waliokuwa wanamshabikia sana Kikwete?

Alisema kama unampenda peleka posa!
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3560617
Mmeanza tena, ila mawazo ya kipumbav mnayatoa wapi nyie watu
 
Wewe jitu hufi tu! Mungu teketeza takataka hii
 
Tena umwambie aangalie hii thread watu wake wanahangaika yeye anapeleka hela kununua magari ya polisi ya kutishia watu. Yanafanya nini sasa? Mwambie tuwauzie Sudan basi.

Mwashambwa unapoteza muda humu badala ya kuwahi matibabu! Utakuja kujutia kukosa kwenda hospitali mapema. Wapo waliowahi kupata changamoto ya matatizo ya akili kama ya kwako, lakini kwa kuwahi matibabu, angalao wamebakia na akili za kawaida. Wewe sasa hivi unaenda kwa kasi kwenye below average brain.
 
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama Taifa tunachohitaji ni maendeleo pekee na ustawi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla wake. Tunachohitaji ni kuona miundombinu ya barabara ikijengwa,huduma bora za afya ,Elimu ,ajira kwa vijana ,umeme wa uhakika mijini na vijijini,uwepo wa maji safi na salama. Mazingira bora ya biashara kwa wafanyabishara wakubwa kwa wadogo.

Usalama wa Taifa na amani ya kutosha, haki na usawa mbele ya sheria,nidhamu kwa watumishi wa umma na wenye moyo wa kufanya kazi na kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo na kujitoa. Kama Taifa tunahitaji kuona mgawanyo sawa wa rasilimali za Taifa ama keki ya Taifa.

Hatuhitaji tu kuona mabadilishano ya sura za watu kila baada ya miaka kumi bila mabadiliko Chanya katika maisha ya kila siku ya watu. Kiufupi tunataka maendeleo ya watu na vitu tena maendeleo yenye kuonekana na kumgusa kila mtanzania bila kuhadithiwa.

Sasa Ukirejea na kuangalia namna Rais Samia anachoongoza Taifa letu na Mambo aliyoyafanya katika uongozi wake unaona ametimiza kiu na matarajio ya watanzania kwa kiasi na kiwango kikubwa kabisa. Ametimiza yake yote yaliyokua mahitaji ya watanzania.

Ni Rais Samia ameleta na kuwezesha Elimu bure mpaka kidato cha sita huku mikopo kwa Elimu ya juu ikitolewa kwa wanafunzi wooote wanaofaulu na kukidhi vigezo. Ni Rais Samia anayetoa maelfu kwa maelfu ya ajira kila mwaka baada ya miaka kadhaa ya vijana kuhangaika mitaani bila ajira wala matumaini ya kupata ajira.

Ni Rais Samia ameongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja kutoka Billion mia 2 na hivyo kuinua maisha ya watu na kupunguza umaskini wa mtu mmoja mmoja hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa asilimia kubwa ya watanzania wamejiajiri katika kilimo.

Ni Rais Samia Ameweka mazingira mazuri ya biashara ambapo sasa huwezi kukuta mfanyabiashara akifungiwa kufuri katika biashara yake ama kuchotewa pesa zake kwenye akaunti yake. Ndio maana ilifika hatua akasema anataka kodi lakini siyo kodi za Dhuruma. Na katika kutimiza hilo aliunda hadi tume ya kuchunguza mfumo mzima wa mazingira ya biashara na kikodi .

Ni Rais Samia amejenga Bwawa la mwalimu Nyerere lenye kuzalisha Megawati 2115 na hivyo kuwezesha umeme kupatikana saa 24 na kupelekea shughuli mbalimbali za kiuchumi kufanyika muda wote na hivyo kukuza kipato cha Watu Hususani vijana.

Ni Rais Samia amejenga mahospitali na vituo vya afya kila kona zaidi ya 300 Nchini ili kupunguza umbali wa wananchi kutembea kwenda kutafuta na kupata huduma za afya. Ndio sababu hata vifo vya Mama na mtoto vimepungua na hata kupongezwa na umoja wa Afrika kwa Hatua zake za kupambana vifo vya Mama na Mtoto.

Ni Rais Samia amejenga shule na vyumba vya madarasa zaidi ya Elfu 20 Nchini kote na hata kupelekea wanafunzi wote wanaofaulu kidato cha kwanza kuendelea na Masomo na kuripoti kwa wakati mmoja tofauti na zamani ambapo wengine walifaulu na kukosa nafasi ya kusoma ama kwenda shule majira ya kiangazi awamu ya pili na wengine kuishia kuolewa Tu kwa watoto wa kike.

Ni Rais Samia Ameimarisha demokrasia,uhuru wa habari,kudumisha amani ,umoja , mshikamano na umoja wa kitaifa. Ni Rais Samia amerejesha Heshima ya Taifa letu kimataifa na ndio sababu kila nafasi tuliyoweka mgombea tuliibuka kidedea kama ilivyotokea kwenye kushindania Urais wa IPU inayoshikilia na Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Uyole pamoja na nafasi ya Ukurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika inayoshikilia na Profesa Mohamed Janabi.

Ni Rais Samia ambaye amejenga na anaendelea kujenga Miundombinu ya barabara kila kona ya nchi hii Maska na kiangazi. Kwa sasa kila kona ya nchi hii ni miradi ya maendeleo unaoja ikiendelea kujengwa kwa kasi kabisa bila kukwama ama kusuasua na wakati huo huo hakuna mwananchi anayechangishwa michango ya ujenzi.

Ni Rais Samia amepandisha mishahara kwa watumishi wa umma , kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahili zao.kutoa nyongeza ya mishahara ya kila mwaka na hivyo kuongeza morali ya kazi kwa watumishi wa umma na hivyo wananchi kupata huduma bora na stahiki kutoka kwa watumishi wa umma.

Sasa mnataka nini kingine fanya Mama yetu watanzania wenzangu? Mnataka awafanyie nini Rais wetu ? Kipi hajafanya ama Kugusa ama kukiweka katika mipango kile ambacho mlihitaji kwa miaka mingi ndugu zangu watanzania? Nini hajasikiiza ? Nani hajasikilizwa? Nani hajafikiwa na mkono wa huruma na upendo wa Rais wetu Mpendwa? Nani hajisikii fahari kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania?

Je hamuoni tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Rais wetu na hata ikibidi kubadilisha katiba ili Rais wetu aendelee kuliongoza Taifa letu?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3560617
UNAMCHIMBIA KABURI! HUJUI TU WAUWAJI WAPO HUKO HUKO CCM

MAGU ILIKUWA HIVI HIVI! AKAONA INAWEZEKANA WAKAMSHUTUKIA WAKALALA NAYE MBELE

WE ENDELEA NA UCHAWA WAISLAMU UNAKUFA ASBH TUNAZIKA MCHANA!
 
Back
Top Bottom