Hahahah,wee jamaa aisee MUNGU anakuona ujue...?. Mwengine huyu hapa eti. Lol.
View attachment 887773
wakwetu ni kama hawa sioHawa wa kwetu ndio mbwa ila huyo ni umbwa mkuu.
Mamii[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha nitake radhi kwanza mkuu
Mbwa wa ulaya ni sehemu ya familia...
Sio mbwa wa kibongo anakula ugali maharage kama yupo jela. Kuna tofauti kubwa sana kati yao na sisi....
Kwetu kuitwa mbwa ni tusi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hayahaya mzee/mama yaishee nimeweka zote najua lazma na wewe utaangukia kwenye mojawapo,nyingine icancel tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilivyoona avatar nikajua mamiii mkuu. Ila nishamtaka radhi kiongozi sasa wewe huu unaoufanya hapa ni uchochezi mkuu.
Hahahahah. Lol.
Umbwa kaenda shule huyo weweeeeMzungu bwana anafanana na vitu vinavyomzunguka, ingekuwa wa kibongo hapo keshakunya na vurugu kibao aisee.
Ulaya Ulaya tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]