Kama Sio Yeye Vile.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,686
Screenshot_20181005-170438.png
 
Mbwa wa ulaya ni sehemu ya familia...
Sio mbwa wa kibongo anakula ugali maharage kama yupo jela. Kuna tofauti kubwa sana kati yao na sisi....

Kwetu kuitwa mbwa ni tusi.
 
Mbwa wa ulaya ni sehemu ya familia...
Sio mbwa wa kibongo anakula ugali maharage kama yupo jela. Kuna tofauti kubwa sana kati yao na sisi....

Kwetu kuitwa mbwa ni tusi.

Usemacho ni kweli kabisa aisee gharama mbwa wa kizungu kwa chakula na matibabu inaweza ikawa binadamu wa kibongo haifikii kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom