Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Mkuu, Rais wa Nigeria alipo chaguliwa amekaa miezi sita bila ya Baraza la Mawaziri na Nchi ikawa anaiongoza kwa ufanisi mkubwa!!!mwezi umeisha bila baraza la mawaziri, mtu mbili tu zinaendesha nchi magufuli na ombeni tosha kabisa, pale bungeni walivyokuwa wanafanya fujo angelifuta bunge palepale ingekuwa bonge la big up.
huwezi elekeza pesa zilizochangwa kwa shughuli fulani iende kufanya jambo lingine hata kama hilo jambo lina faida zaidi. sheria hizi zipo kuzuia ishu za kutakatisha pesa na kuchangisha fedha kwaajili ya magaidi.
huwezi elekeza pesa zilizochangwa kwa shughuli fulani iende kufanya jambo lingine hata kama hilo jambo lina faida zaidi. sheria hizi zipo kuzuia ishu za kutakatisha pesa na kuchangisha fedha kwaajili ya magaidi.
huwezi elekeza pesa zilizochangwa kwa shughuli fulani iende kufanya jambo lingine hata kama hilo jambo lina faida zaidi. sheria hizi zipo kuzuia ishu za kutakatisha pesa na kuchangisha fedha kwaajili ya magaidi.
HADI SASA HAKUNA MTU HATA MMOJA ALIYE JIBU HOJA ZA PASCO.
Wote wanahoroja kishabiki wasijue iko kesho tena kesho itayo washangaza hata wao !
-MZARAUNI PASCO LEO ILA KESHO MTA MWELEWA SANA ..
JAPO ITAKUWA TOO LATE!
kusema 2016 tushereke kawaida,leo tufanye usafi na fedha zitumike pengine bila kusema wapi hii maanake ni hakuna pesa hazina na propaganda za kiini macho kwa washabaki ila sio waelewa,ilhali ni KUDHARAU SIKU TULIYOPATA UHURU kwa kuficha yasiyofichika shame
kusema 2016 tushereke kawaida,leo tufanye usafi na fedha zitumike pengine bila kusema wapi hii maanake ni hakuna pesa hazina na propaganda za kiini macho kwa washabaki ila sio waelewa,ilhali ni KUDHARAU SIKU TULIYOPATA UHURU kwa kuficha yasiyofichika shame
huwezi elekeza pesa zilizochangwa kwa shughuli fulani iende kufanya jambo lingine hata kama hilo jambo lina faida zaidi. sheria hizi zipo kuzuia ishu za kutakatisha pesa na kuchangisha fedha kwaajili ya magaidi.
ndiyo hazina hakuna hela wewe ulitaka iweje?
UMEMWELEWA PASCO AU UNAHOROJA TU KULIKO bata?
MIMI nilisema na naendelea kusema MH.KAJICHANGANYA NA BADO ATAENDELEA KUJA NA MAAAMUZI MABOVU TU!
JIBU HOJA ACHA KUKURUPUKA we kilaza ..hatuwezi kuwa na mihimili mitatu halafu mtu anahodhi mamlaka ..
Kama Utawala wa sheria umeprove lawlessness kwa nini msitumie dictatorship. Na kwanza ni ninyi wenyewe mnaoshindwa kujiendesha kwa haki chini ya sheria mnamfanya awadictate. Msipo fikiri mtafikiriwa na mhe president. Ndo maana Donald Trump aliiwazia Africa zaidi ya udictator, yaani kuicolonize upya for another 100 years, ili mjifunze Utawala wa democracy ya sheria. Viva Magu
Mkuu Pasco Ninakuheshimu sana kwa hoja ulizo weka hazina nguvu sana Nchi yetu chafu umasikini wa kumwaga maradhi ndio usiseme. Mheshimiwa Rais Magufuli hajafanya kosa kuiondoshaWanabodi,
Tanzania ni nchi inayofuata utawala wa sheria, hivyo itaongozwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni!, no one is above the law!. Katika kufuata sheria hizo, taratibu na kanuni, pia kuna mamlaka ambayo katiba imempa rais wetu wa JMT kuyatekeleza at his pleasure, yaani vile rais atakavyoona inafaa, ikiwemo presidential appointments powers, and the power to hire and fire civil and public servants!.
Hata kama Dr. Magufuli ni rais wetu, haina maana ana inherent powers kuamua chochote na watendaji walio chini yake kazi yao ni kusema tuu 'YES!", "ndiyo mzee!". Ila kwa hali ninayoina sasa, jee kuna ubaya tukimshauri rais wetu, kamu huu Sio Udikiteta?!, then ni bora sana, Mhe. Rais aka "Futilia Mbali Utawala wa Sheria, kuamua kuongoza kwa kutumia Presidential Decrees!, yaani kina anachokotaka rais na kukisema kinaandikwa na kinakuwa sheria!, kiukweli atafanikiwa sana!.
Rais alipoamuru zile pesa "private money", zilizochangwa na private entities, zikiwemo public corporation, kama sehemu yao ya CSR kuwakiimu wabunge wapya kwa mlo wa usiku!, alitumia mamlaka gani?!. Yaani rais anaweza kuamuru private entities watumieje fedha zao?!, kwa sheria ipi, kanuni ipi na taratibu ipi?!. Huu kama sio udikiteta ni nini?!.
Alipoamua hayo, wengi wameishia tuu kupiga makofi, hakuna aliyejiuliza, agizo hilo amelitoa kwa mamlaka gani?!.
Njuavyo mimi mashirika na makampuni yanatenga fungu fulani za kufanya shughuli za CSR ili ku achieve specific objectives kwenye strategic plans zao!. Kama Bunge liliomba udhamini wa mlo wa usiku, na mashiika na makampuni wakaona zina fit kwenye zile CSR zao, wakatoa, rais alikuwa na mamlaka gani ya kuingilia na kuamuru diferent use ya private money?!.
Hata kama rais ameona matimizi yale yalikuwa ni anasa tuu, angeliamuu bunge likatae michango hiyo, na kuirudisha kwa wenyewe ili zipangiwe CSR nyingine, na rais kama alihitaji hizo fedha zipelekwe kuhudumia wagonjwa Muhimbili wenye uhitaji mkubwa zaidi wa vitanda kuliko mlo wa wabunge, angeomba kama waombaji wengine!.
Baada ya kufanikiwa kwenye hili na kupongezwa, leo rais wetu ameibuka na jinginekufuta parade ya uhuru!. Swali ninalojiuliza hivi kumbe parede ya uhuru ni miongoni mwa sherehe zinazoadhimishwa at the pleasure of the president?!. Nilifikiri hii ndio the no 1 state event na ipo kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni?!, hivi ni kweli ais wa nchi anaweza tuu kuamka asubuhi na kuamuru maandimisho ya parade ya uhuru yafutwe just like that?!, mamlaka hayo rais wetu ameyatoa wapi?!.
Mbaonaje mkiungana na mimi, tumshauri rais wetu ili kuyanyoosha mambo yake vizuri, awe na mamlaka ya kufanya kila anachotaka, mnaonaje kama atasitisha utawala wa sheria kwa muda, badala yake aongoze kwa kutumia pesidential decrees pekee?!.
Najua kuna watu humu wanaweza kulitafsii bandiko langu hili na chuki binfsi!, nawaomba sana wanisome hapa!, mimi ni mmoja wa waliosema kuwa Mgombea wa CCM atakuwa ni John Pombe Magufuli tena kwa sababu maalum. Angalia kwa makini bandiko hili ni la lini
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 ni John Pombe Magufuli-Aug 15, 2014
Na baada ya CCM kumpitisha rasmi Magufuli, nilipandisha bandiko hili
Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Yaishe!.
Na baada ya ushindi wa Magufuli, nilipandisha uzi huu
Ushauri Wa Bure kwa ENL, Chadema na UKAWA, Tukubali Kushindwa, Tuyakubali Matokeo...
If You Can't Beat Them, Join Them!, He is a Worst Dictator!.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Pasco.