peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,826
- 21,429
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?
1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe zinatafutwa Ili zikamatwe
Nimewaza kuna watanzania wameshiriki Ili ndege ikamatwe ilikokuwa Ili kupata mgao wa 380 bilioni,
Tangu ndege ikamatwe sasa ni mwaka mmoja serikali imepiga kimya.
Tanzania tunaendelea wapi?