Kama sijajenga wala kuwa na usafiri binafsi sitaoa maisha yangu yote

kwa hiyo usipopata mihela huoi?

ndio sioi....kwa sababu nitajiongezea mastress zaidi. kwanza ukiendajitambulisha kwa wazazi wa mwanamke utaulizwa una fanya kazi gani na una nini....sasa hapo utajibu nini shekh wangu?
 
ndio sioi....kwa sababu nitajiongezea mastress zaidi. kwanza ukiendajitambulisha kwa wazazi wa mwanamke utaulizwa una fanya kazi gani na una nini....sasa hapo utajibu nini shekh wangu?
mawazo ya wanafunzi haya.:p:p
 
Kuoa siyo lazima japo inaongeza heshima,ina hadhi yake uwe mtoto Wa kigogo au mkulima(In Mwana Fa's Voice)
 
hiyo ni misemo yakujifariji...mwanaume pesa tu mengine yote yatakuja
Sawa sawa na ndio maana mwisho wa siku mnaangukia sehem pesa yako ndo inapendwa na sio ww kamwe
Pesa zinatafutwa tu
Pesa bila akili na busara ni sawa na bure kabisa na huwez kuwa mume kwasababu siku pesa zikikosekana utakosa busara ya kuongea na mkeo aliyekupendea hizo pesa
 
Baba yake anaingiaje hapo?.
Means that babaake angesubiri hayo huyo asingezaliwa...... ndoa nyingi za siku hizi hazidumu ksb ya vijana wengi wanafikiri mafanikio ya gari na nyumba ndiyo yanamfanya mke akupende na atulie ndani... mpe mke hiyo gari ili waosha magari wakamlie humo humo kwenye gari ... ndipo utakapogundua sifa za marehemu
 
Back
Top Bottom