Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 28, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa Chadema hawakujikita sana na Udini na Uchadema? Basi Chadema wana nafasi mzuri ya kuwaunganicha Wtanzania na kuwaita wakaitika na kuweza kuiondosha ccm ktk madaraka na kuizofisha kabisa. Lakini tatizo kubwa la Chadema ni kushindwa kuwaunganisha Wtanzania ktk misingi yao ya imani za kidini na kisiasa.
  Kwa vile Chadema wanapendwa na wana watu wengi, kwa hio njia ya kuingia ikulu ni yepesi kwao ikiwa watajipanga vizuri sana?. Nilazima Wajikitee sana ktk Utanzania na haki za Mtanzania ili kuweza kuwaunganisha Wtanzania. Isiwe wakifanya maadamono yao yanakuwa ya Kimkowaa na ki-Chadema na udini.
  Kuna watu Tanzania wenye imani za kidini tafauti na wanawaunga mkono sera nyingi zao na wanatamani ku-joint na wao ktk harakati za ukombozi la kini wanashindwa hapo. Nilazima Chadema wabadilike ili kutumia people power, nguvu ya Dola haiwezi kushinda nguvu ya watu(people power) angalia Serekali ya Tunis na Misry iko njiani na nyingi tuu zitafuatia zenye utawala wa kimabavu zidi ya raia zake.
  Sasa leo Chadema wana opportunity mzuri golden chance hawajuwi kuitumia imebaki pambo la nyumba, hivi sasa Marekani wanakubali nguvu ya watu na kuipa motishaa sasa Chadema muna subiri nini?.

  GONGA HAPA: Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye.
   
 2. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazanibara kwa uchokozi
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,069
  Trophy Points: 280
  ..soma comment za wachangiaji wa mzalendo.net.

  ..hivi mwenye "ukurutu wa Udini" ni Chadema, au hao wanaojitambulisha kama Wazanzibari?
   
 4. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtazamo wa watu udini ni uislam, lkn wao wameonyesha opposite kwamba hata kumbe ukiristo unaweza ukawa udini
   
 5. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Haka ka Mzalendo .net cjakapenda kwanza kapo Ki CUF zaidi na Kiislam zaidi,huwezi kunishawishi hata siku moja nikubali udini wa Chadema kabla ya udini wa CUF na CCM,ndo maana hata ushindi wa CUF kwenye kura za urais zimetoka maeneo yenye waislam wengi i.e Mtwara,Lindi na Tabora kote huko waislam ni 80 Percent,kwa CCM udini upo kwa Kikwete.
   
 6. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lkn haat chadema imeta ushindi kwa wakiristo wengi.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Nimesoma zile comment mkuu, in short, this is very bad for Chadema.

  Chadema need to work on in this accustaions whether these accusations are true or not. sumu mbaya sana hii. sijawahi kuamini au kuona hata sikumoja kuwa chadema wana udini kama walivyoupamba hawa watu!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]Erinaceous
  [/FONT]
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  I guess they are after something au kuna kitu wametumwa
   
 10. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jifunze kiswahili kwanza ndiyo uweke thread, tunashindwa kukuelewa unamaanisha nini.
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  for your info... hiyo kazi walipewa waifanye humu JF wakiongozwa na zomba na huyu muhogo mchungu akibadilisha Id.... lakini imeshindikana...hiyo bog inaji classify yenyewe... kuwa sio forum bali ni muhadhara.... sioni kama watafanikiwa kwani kuna watu walifadhiliwa ku preach hate live lakini hawakufanikiwa....
   
 12. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok, lkn yanaysoema sio kweli? au kwa kuwa yameigusa chadaema na sio ccm, cuf, tlp, nccr mageuzi?
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Utawajua tu kwa matendo yao
   
 14. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kila siku chadema,chadema,du! Utakuka hata kwenye ilan ya ccm na cuf neno chadema litaanza kuingizwa kila ilani mpya. Kweli cdm wanawatesa hawa watu!
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona unajikanganya? mara chadema inapendwa na watu wengi halafu bado unasema wana udini na ukabila.
  Tatizo limetokea arusha, utaitisha maandamano zanzibar si utaonekana mwendawazimu.
  Kama huna cha kuandika nenda maliwato. Au umetumwa?
   
 16. D

  DENYO JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  chadema itaendelea kuwatesa sana na itaendelea kuwatesa saana bila kikomo, moto wa chadema ni moto wa hatari, chadema imesema makada wa ccm na ccm na vibaraka wake option waliyonayo ni kuwajibika kwa kuitaka serikali yao itimize wajibu it is a must not a choice. Dr slaa kiongozi wa umma kisha sema mara nyingi kushindwa kutatua matatizo ya watu na kuibua propaganda za udini kunaifanya nchi isitawalike na huo ni ukweli -jk anatakiwa azibue masikio badala ya kulialia-amepewa serikali kutatua matatizo ya watanzania sio kukumbatia mafisadi. Wanaofanya propaganda za udini watachoka wenyewe
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,640
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Uzuri ni kuwa watanzania wa sasa siyo wale wa mika 10 iliyopita, wanachambua hoja siyo kama wanaamini kila wanachosoma na kusikia. Nakumbuka Mwalimu Nyerere alivyomjibu mwandishi mmoja wa habari aliyemuuliza kuwa watu wanasema kuwa yeye(Mwalimu) ni dikteta, yeye alimjibu yule mwandishi kuwa JEE MTU AKIKUAMBIA KUWA MIMI NDIYO BABA YAKO MZAZI UTAMWAMINI? Sasa hao wanaoneza sumu yao ya udini wanajisumbua ukweli umeshajulikana kuwa hakuna udini bali kuna vita kati ya UFISADI(uliojificha kweye mwavuli wa uislamu) na UADILIFU. Kazi kweli kweli hapa.
   
 18. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Chadema ninayo ielewa mimi haina udini !!!!! '' imesingiziwa udini by implications za watu '' pia nasikitika kuwa ndugu zangu wengi muslims wanasita kuingia chadema kwa kusikiliza maneno ya uzushi kuwa chadema ni chama cha kikristo. Huu ni uongo wa kutupa shida kubwa ni vile tu viongozi wa dini ya kikristo kwa uelewa wao wanapenda maendeleo na haki za watanzania sasa kitendo cha cha kusifia sera kadhaa za chadema inachukuliwa tofauti!! Chadema imejipanga kutetea wanyonge na watanzania tofauti na wengi wanavyofikiria na kwa kifupi inakubalika sana kwa sasa sera zake zinaeleweka
   
 19. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kweli aliyekutuma hajakaa akafanya tathimini ya kina.CDM ni zaidi ya vyama ambavyo ulishawahi visikia tz na vitakavyokuja.WW baki na udini wako siku wateule wakitajwa utaomba ukae mkono wa kuume na usipate nafasi.Badilika,change ur mind mtanzania.Peoplezzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  washindwe walegee
   
Loading...