goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,636
- 9,132
Attention ya hela...100% wanawake wanapenda attention
Attention ya hela...100% wanawake wanapenda attention
Attention ya hela...100% wanawake wanapenda attention
Si wanaume wote numbisa. Wako wastaarabu. Born led woth respect. Wanaume wote hawawezi.kuwa sawa maana kila mmoja anatabia tofauti na wametoka kwenye malezi tofauti. Wabaya wako na wazuri wako
Usikarir...
Mwanaume akifanya hayo uliyoyaandika ni dhahiri kuwa hampendi huyo mwanamke, maana huwezi kumpenda mtu na usimuoneshe, usijali, usiwe na muda nae wala usiwaheshimu ndugu zake. Ni dhahiri kuwa mwanamke huyo atakukimbia tu vinginevyo awe amekupenda mpaka basiKwa wanaume wote, uwe na mke au demu kama umuonyeshi kumpenda, kumjali, kumpa time yako, kumsifia na hata kuwapenda kuwaheshimu ndg zake hesabu maumivu.....
nakuelewa sanaMmh. Sasa kwa nini na nyie msiwe mnayatimiza yote hayo.
Ahsante sana. Ubarikiwe.nakuelewa sana
zidi tambua uwepo wanguAhsante sana. Ubarikiwe.
Sawa.zidi tambua uwepo wangu
Wewe mtoto kumbe unajua kubembeleza nama hiyo, tushirikishane katika shughuli mbalimbali! Tafadhali.Sema kweli shemdarling utundu gani huo umeumiss jamani
MmhhhhUkitaka kuepukana na uchapiwaji..timiza hayo uliyoyaandika