kama si kweli wanawake njooni mpinge

Umeanza vizur umemaliza vibaya eti usikariri naona kama umepanic vile
Si wanaume wote numbisa. Wako wastaarabu. Born led woth respect. Wanaume wote hawawezi.kuwa sawa maana kila mmoja anatabia tofauti na wametoka kwenye malezi tofauti. Wabaya wako na wazuri wako
Usikarir...
 
Kwa wanaume wote, uwe na mke au demu kama umuonyeshi kumpenda, kumjali, kumpa time yako, kumsifia na hata kuwapenda kuwaheshimu ndg zake hesabu maumivu.....
Mwanaume akifanya hayo uliyoyaandika ni dhahiri kuwa hampendi huyo mwanamke, maana huwezi kumpenda mtu na usimuoneshe, usijali, usiwe na muda nae wala usiwaheshimu ndugu zake. Ni dhahiri kuwa mwanamke huyo atakukimbia tu vinginevyo awe amekupenda mpaka basi
 
Back
Top Bottom