GE2025 Kama Samia anavotuma SMS za uchaguzi kwa nini na sisi tusitume za Maandamano?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,543
Reaction score
11,644
Kumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano?

Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao.

Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha zaidi.

Safari hii tumejipanga sana kiteknolojia.
 
Umesikia alokatwa ubunge geita katekwa sababu katuma sms 2000 kuhamasisha maandamano??
Message 2000 ni chache ukilinganisha na uwezo wetu... Tunaweza kuwasiliana na watu zaidi ya million 1 kwa dk 5.

Tumeona message baadhi zinazuiwa
 
Kumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano?

Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao.

Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha zaidi.

Safari hii tumejipanga sana kiteknolojia.
vyombo vyote vya mawasiliano viko chini yake anatuma atakavyo, hao wengine wakituma ni uchochezi
 
Umesahau kama TCRA ni mali yake! Watakuchoma kwa policcm dakika 0!

Na ukumbuke leo na wenyewe wameanza kutuma meseji za kutuzuia eti tusitume meseji za kuhamasisha uvunjifu wa amani! Uchawa ni kila mahali mpaka imekuwa ni kero sasa.
 
Tuna reverse engineering mifumo ya CCM na Samia inayotuma message
 
Labda utume kichawi.
Ila kwa Mitandao ya simu, Hzo SMS zitakua blocked na wewe utatupa kaza ya kukutafuta
 
Message 2000 ni chache ukilinganisha na uwezo wetu... Tunaweza kuwasiliana na watu zaidi ya million 1 kwa dk 5.

Tumeona message baadhi zinazuiwa
Yeye kafanya kwa nafasi yake, ukisema ni chache inapaswa nawe uonyeshe uwezo wako, don't complain!.
 
Back
Top Bottom