Huku mitaani nimefanya uchunguzi wa wanawake wanaoishi na virus vya ukimwi nikagundua kuwa wengi wao ni tamaa ya pesa, hapa maeneo ya kwetu kuna wanaume wawili ninaowafahamu ambao wanatumia pesa zao kuwahonga akina dada, na kwa mf. mmoja ameshatoka na wadada wanne nnaowafahamu na hali zao sio nzuri, nilichogundua ni kwamba watu wanajua unachofanya wengine wanakucheka na wengine wanakuonea huruma pasipo kukwambia, dada mmoja ameambukizwa HIV na amekaa takribani miaka miwili bila kujua wakati wengne wanajua!