Kama pesa ndio mpango mzima dada zetu mmekwisha.

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Huku mitaani nimefanya uchunguzi wa wanawake wanaoishi na virus vya ukimwi nikagundua kuwa wengi wao ni tamaa ya pesa, hapa maeneo ya kwetu kuna wanaume wawili ninaowafahamu ambao wanatumia pesa zao kuwahonga akina dada, na kwa mf. mmoja ameshatoka na wadada wanne nnaowafahamu na hali zao sio nzuri, nilichogundua ni kwamba watu wanajua unachofanya wengine wanakucheka na wengine wanakuonea huruma pasipo kukwambia, dada mmoja ameambukizwa HIV na amekaa takribani miaka miwili bila kujua wakati wengne wanajua!
 
"True wisdom come to each of us when we realise how little we understand about life ourselves and the world around us"

"Knowing others is intelligence
knowing yourself is true wisdom
mastering others is strength; mastering yourself is true power. If you realize that you have enough, you are truly rich"

leteni maoni yenu mnalichukuliaje hili?
 
Huku mitaani nimefanya uchunguzi wa wanawake wanaoishi na virus vya ukimwi nikagundua kuwa wengi wao ni tamaa ya pesa, hapa maeneo ya kwetu kuna wanaume wawili ninaowafahamu ambao wanatumia pesa zao kuwahonga akina dada, na kwa mf. mmoja ameshatoka na wadada wanne nnaowafahamu na hali zao sio nzuri, nilichogundua ni kwamba watu wanajua unachofanya wengine wanakucheka na wengine wanakuonea huruma pasipo kukwambia, dada mmoja ameambukizwa HIV na amekaa takribani miaka miwili bila kujua wakati wengne wanajua!

hii ni nouma kweli,ina maana hao watu walimpima hiv bila ya yeye kujua?!
 
hapana! ni kawaida kusikia kuwa flani ana hiv kwa hiyo wakijua kuwa wewe umetembea na huyo mtu wanayemjua kuwa ana hiv kuna haja gani ya kupima? wao wanasikilizia tu cku ukija kushituka wenyewe wanajifanya kuja kukupa pole, kumbe wanakuja kuhakikisha tu.
 
Huo ndio umbeya alafu inaonekana wewe ni mbeya sana.............. faya yako bwana umbeya hautakusaidia kitu, unauhakika na uliye nae? au unajuaje katika mzunguko wa hao watu nawewe umo? omba Mungu hiki kitu sio cha mzaha
 
hiyo avatar..
ndo leo nakuona..
 
Sio kweli bwana! Wapo wengi wameambukizwa ukimwi na wanaume maskini au wanawake maskini! Usiwe na mtazamo matajiri ndiyo wenye ukimwi!
Ukimwi hauchagui hilo!
Inaezekana pia usipate ukimwi kama unatumia kinga.
 
Mmmh!
Tanzania bila Ukimwi HAIWEZEKANI!
Spati picha na mimi nikiukwaa!
 
Huku mitaani nimefanya uchunguzi wa wanawake wanaoishi na virus vya ukimwi nikagundua kuwa wengi wao ni tamaa ya pesa, hapa maeneo ya kwetu kuna wanaume wawili ninaowafahamu ambao wanatumia pesa zao kuwahonga akina dada, na kwa mf. mmoja ameshatoka na wadada wanne nnaowafahamu na hali zao sio nzuri, nilichogundua ni kwamba watu wanajua unachofanya wengine wanakucheka na wengine wanakuonea huruma pasipo kukwambia, dada mmoja ameambukizwa HIV na amekaa takribani miaka miwili bila kujua wakati wengne wanajua!
si kila alalae na mwenye virus na yeye anapata ukimwi, kuna wengine hawaambukizwi, pia wanaweza kutumia kinga, acheni kuhukumu watu bila kuwa na uhakika wa jambo lenyewe, Huu ni umbeya
 
Sio kweli bwana! Wapo wengi wameambukizwa ukimwi na wanaume maskini au wanawake maskini! Usiwe na mtazamo matajiri ndiyo wenye ukimwi!
Ukimwi hauchagui hilo!
Inaezekana pia usipate ukimwi kama unatumia kinga.
Rafiki umetoa wazo zuri ila naomba nikubadilishe mtazamo hapo kwenye mkolezo, miaka kama 6 au 7 iliyopita serikali ilitangaza kukamatwa kwa boksi zaidi ya 300 ya kondom zilizokuwa na virusi, zikivushwa kutoka kenya kuja Tz kupitia mpaka wa sirali na baadhi ya boksi zilikuwa zimekwisha vushwa, kumbe kondo si suluhisho madhubuti, hata hivyo kondom salama isipotumiwa vizuri ukishiriki tendo na muathirika unapata maambukizi, ni wachache sana wanaojua matumizi sahihi ya kondom.

Njia sahihi ni kupima na mpenzi wako kabla hamjaanza kushiriki tendo, kuwa na mpenzi mmoja ambaye mtadumu kuwa waaminifu. Vinginevyo itokee ajali ya aina yoyote. Uaminifu ni kitu cha msingi sana katika mahusiano ya kimapenzi, uchumba na hata ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom