"baada ya kumuhoji midwife wangu maswali nimejifunza kuwa kumbe mamba ya miezi mitatu ni katoto kabisa kenye kenye hisia,kanakosikia maumivu Kama Mimi,kenye kimono na miguu na anaonekana Kama binadamu kabisa.laiti ningeyajua haya nisingeitoa ole mimba ambayo kwa wakati ule nilidhani ninatoa mabonge bonge ya damu tu kumbe niliua katoto kasiko na hatia bila kufeel guilty kwa miaka yote hadi leo nilipojua kumbe sikutoa mabonge bonge ya damu bali nilimuua m
toto wangu"
Hayo yalikua ni maneno ya rafiki yangu aliyekua akinielezea huku akilia kwa uchungu kama aliyefiwa.
Huyu rafiki yangu kwa sasa ni mjamzito lakini sikuwahi kudhani Kama na yeye ni miongoni mwa wauaji wakAtili wa viumbe visivyo na hatia.
Je unafikiri anastahili jamii tumuelewe kuwa sio muuaji sababu anadai hakujua kuwa miezi mitatu ni mtoto?
Kama anastahili kueleweka basi mi naona ipo haja ya kupeanA elimu kuwa mtoto tokea siku ya kwanza mimba inapotunga huyo ni binadAmu na kumtoA bila sababu za za lazima za kiafya Hayo ni mauaji.