- Thread starter
- #21
Na hakuna dhambi isiyo sameheka!
Kutukana ni dhambi na kuuA ni dhAmbi na zote ni machukizo mbele za mungu ila Mimi naweza kunywa maji nlopewa na alotukAnA ilA ya muuaji sitaweza kuyanywA nitahisi yanAnuka damu.
Na hakuna dhambi isiyo sameheka!
Imagine hadi wanandoa wanaua bila sababu,hawa tayari wanajuA kabisA kuwa wanUa mtoto,watoto wa shule nao wanAjiteteA kuwa wanDhNi ni madamu damu wanatoa.wTu wAnaogopa ukimwi kuliko mimba sbb Kwao mimba ni sawa na mijusi tu ikiingia wakati usiotakiwa inanyofolewa mbali.how evil
Na hakuna dhambi isiyo sameheka!
How do you prevent mimba zisizo pangiliwa kama ungelikuwa ni wewe?
How do you prevent mimba zisizo pangiliwa kama ungelikuwa ni wewe?
Sio mijusi na kenge inayoanzia uhai kwenye binaadamu bali uhai wa binaadamu umeanzia kupitia kwao wao
Kwa ufupi ni kuwa kima na mijusi ni babu na bibi zako
Ila inahitaji toba ya kweli...isije ikawa kama ile hadithi ya fisi aliyekwenda kuungama kwa kula mtoto wa mbuzi. Akiwa katikati ya maungamo akasikia mbuzi analia kwa nje. Alichofanya akamuhiza padri afanye maungamo fasta fasta maana kuna mbuzi mwingine analia nje.
Nafikiri cha msingi hapa ni kuangalia kile kilichopatikana after fertilization ambacho kitakuja kuwa mtoto after 9months na siyo kenge na mijusi
Karudie tena kusoma hizo theories, zilishagundulika kuwa hazikuwa za kweli siku nyingi.Sio mijusi na kenge inayoanzia uhai kwenye binaadamu bali uhai wa binaadamu umeanzia kupitia kwao wao
Kwa ufupi ni kuwa kima na mijusi ni babu na bibi zako
Nyinyi watu acheni
akili za kijinga na zakitanzania ambazo hazifikiri. Kama mimba ikiwa
changa ni damu tu. Kingine kama huna uwezo utafanya nini kuliko kuleta
yatima na kuwatesa bure. Ni maamuzi ambayo lazima baba na mama wahafiki
na kukubaliana. Huweiz kuwa na mtoto kama hauko tayari kumtunza na
kumkuza. Kuzaa sio kazi, kazi kulea.
Nisameheni kwa kuchanganya herufi kubwa na ndogo
Karudie tena kusoma hizo theories, zilishagundulika kuwa hazikuwa za kweli siku nyingi.
Ni kweli, lazima kujipanga,Nyinyi watu acheni akili za kijinga na zakitanzania ambazo hazifikiri. Kama mimba ikiwa changa ni damu tu. Kingine kama huna uwezo utafanya nini kuliko kuleta yatima na kuwatesa bure. Ni maamuzi ambayo lazima baba na mama wahafiki na kukubaliana. Huweiz kuwa na mtoto kama hauko tayari kumtunza na kumkuza. Kuzaa sio kazi, kazi kulea.
Ni kweli mkuu uhai unaanza pale yai na mbegu zinakutana na Mungu anaweka roho ya huyo mtoto, ndo maana tunasema uhai wa mtoto unaanza mbegu na yai vikikutana tu! Hyo ndo miujiza ya Mungu!Hapo mie nakataa .......
Ni kweli mkuu uhai unaanza pale yai na mbegu zinakutana na Mungu anaweka roho ya huyo mtoto, ndo maana tunasema uhai wa mtoto unaanza mbegu na yai vikikutana tu! Hyo ndo miujiza ya Mungu!