Kama ningekuwa Rais Samia

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,524
Reaction score
14,199
Uzi huu utumike kuonesha upande wa pili ambao Rais Samia pengine hauoni. Naamini huwa anapita humu jamvini na akiuona huu Uzi hawez acha kufungua.

Kwa upande wangu kama ningekuwa Rais Samia..

1. Ningemuachilia huru Tundu Lissu.. maana kumuweka ndani ni kumuongezea umaarufu na siku mtu huyu akitoka jela hatashikika

2. Ningemuondoa Paul Makonda serikalin. Makonda anastahili kubak kuwa chawa kama wakina Mwijaku na si kuwa kiongozi.

3. Ningemhamisha Mwiguli Nchemba wizara ya fedha. Mwigulu akilala akiamka anawaza urais. Mtu wa hiv si afya kumpa wizara ya fedha.

4
5

Je wewe ungekuwa Rais Samia ungefanyaje?
 
Kwann mnacopy vitu nakuleta huku. Ungeacha kule ungekosa nn?
 
Kwa mustakabali mwema wa nchi yetu. Ningekemea utekaji na ningeagiza kufanyika reform na kuwe na tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…