Kama ningekuwa nakunywa basi leo ningekuwa chakarii

Acha uoga wewe, tafuta mtaalamu mwingine akurekebishie
 
Kuzazi cha 1990-2000 slekisleki
Kizaz cha amapiano singeli
Role model zenu wasanii bongo movie
Kazi kweli kweli

Ova
 
🤣🤣🤣ungekua unatengeneza simu si ungejiua kabisa ...unanunua lcd ya samsung kwa laki mbili na nusu na uneshatest kiko poa unakuja kufunga ngoma haitachi ama ndo inawaka simu lakini kioo kiko blank na mteja kakaaa nje anakusubiri si ungejinyea🤣🤣🤣🤣🤣
 


Elezea kama unavyoelezea hapa, huo ndo uanaume, Hakuna vita, issue ni kama ingeibiwa, mali yake ipo? Shida iko wapi....

Ila jipe mda inaweza kuwaka...
 
Ni kawaida yenu nyie mafundi wa Tanzania kuharibu vitu zaidi ya vilivyokuwa awali, mimi ukiona nimepeleka simu, laptop au kitu cha maana kwa fundi nimekwenda kukitupa tu huko na sio vinginevyo.
 
laptop ya aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…