Kama nimekosea nishaurini jamani



Yaani over 30 alafu bado wakusumbue hao wengine? think twice if nt tripled, ningekuwa mimi ningeenda na ningependeza zaidi ili wale watakaonyoosha vidole wasiwe na la ziada zaidi ya kusifia eeeh Matron hatareee kabisa maana kapendeza, shughuli ikiisha kila mtu kivyake, usipoende utawa disappoint ambao hawajui kabisa na hawahusiki ata kidogo na hayo mambo ya ladies, cc the boss
 
Afu ujue kuna uwezekano wa hao mashoga kuwa humu JF...kuna uhusiano wa ma Facebook addict na addiction na mitandao mingine kama hii...

Watakupa za uso kimya kimya kwa kuwa wanajua unawaongelea wao...(mfano kuacha substance na kutafuta weakness nyingine za thread yako)
 
Sina ushauri, mimi na harusi ni kama jua na maji
 
Amini nakuambia, ili usiwe chanzo cha mkanda wa video na picha kutotazamwa hapo baadae, achana na habari ya kusimamia hiyo harusi, acha kabisa.

Kama bibi harusi alishaambiwa wewe ulikuwa mchepuko, ataimagine vitu vingi kiasi kinachoweza hata kuathiri ndoa yake na huyo bwana harusi.

Otherwise, kaa na bibi harusi, mweleze yote uliyoyasikia kinaga ubaga na mpe msimamo wako, kama akikuelewa basi haina shida simamia. The safe way ingekuwa kuachana na huo usimamizi.
 

bi dada unafurahisha sina mbavu hapa.asante
 

mkuu umejuaje? ujaoma mabango niliopewa?
 

umeongea la maana mkuu. weekend karibu kwangu.
 
kumbe yote ni narsistic beehavior kuwa wee mrembo. hahahah
 
FUPISHA story kidogo...

Halafu SAY nishaurini SIO nishaulini..

Sasa ndo ume mshauri bidada ww nenda ukitaka kufanya jambo usiangalia mtu ktk hii dunia mambo kusaidiana maana leo wao kesho ww km si ww bas nduguyo
 
Mmmhhh
Yaani wanawake bwana tuna mambo. ..hivi hapo hao mashost wanaona wivu tu hakuna kingine!

Kwa maoni yangu
Usiache, just do it!ukiacha watafurahi!

Najua utakuwa umemzidi bi harus muonekano mzuri!!!!!
Hahaa haaa
Jus do it

umeona yan wanawak tunamambo jaman roho mbaya na wivu vimewajaa hahahaaaaa
 
Wanawake kweli mna kazi...hivi kumbe kuna hadi ma-matron maarufu!!!! heheheh

Ila sredi yako imenifanya nijue wewe u mlimbwende, ngoja nitakufuata PM uwe matron wa mai waifu tu biii....
 
Unajua hapo inaweza ikawa uwongo tu wa huyo rafiki yako wa fb ka nabibi harusi ujaribu kuangalia kama kunachembechembe za yasemwayo
 
wala siumizwe na maneno ya wanafki wa pembeni km mwenye shughuli hana shida hao wengine wanakubana nini?
 
Kikowapi? Ahaaaa kumbe hakuna!Nilitaka nikupe like ila kwa bahati mbaya kitufe cjakiona!

Hana lolote huyo zaid ya wivu tu.mxxiuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…