Wana mmu kwema?
Kuna jambo limenitatiza nikafanya maamuzi ila likanilazimu nililete hapa nione ushauri wenu.
Ni ivi kuna kijana mmoja tunafahamiana kwa mda mrefu ni just a friend ananiheshimu sana kiukweli hatuna lolote ni heshima tu ya mda mrefu (kwanza si type yangu so mnielewe)
majuzi alinipigia sim yeye na dada yake wanaomba niwe matrion wa mke wake, yaan huyo kijana ndo anaoa.
Niwarudishe nyuma kidogo kwa ufupi nakuaga matron sana marafiki zangu wanapenda niwe matron tho sio wote nawakubalia. Huyo kijana na dada yake hata mama yao wote wanajua kuwa hiyo shuguri naweza ndo maana waliniomba.waliponambia nilitaka kukataa lakin nikaona mama yao atanielewaje? Afu ikifika siku yangu je watanisaidia? Si mnajua mambo ya sherehe ni watu?
Basi nilikubali akanambia send off in mwezi wa november, so aliniomba mke mtarajiwa aje kwangu nimuone tuongee mambo flan.
Kweli bi dada alikuja nikampokea ni kampa customer care zote. Stor stor.
Basi aliniomba kuangalia picha ambazo nilishasimamia send off mbalimbali nikampa akaangalia kweli alisifia sana.
Aliniuliza sasa dada mm nitapendeza kwa vazi lip? Nikamwambia tuvae tofauti kidogo na hapa bongo walivo zoea. Kweli alipenda mavazi ya sendoff za kwetu. Alikubali akaniomba mambo flani nikamwambia hakuna shida nitasaidia tho nigarama.
Wakati anaangalia picha niliona anaangalia picha huku akinitizama.nilichukulia poa.alishukuru sana na akanisisitiza nimsaidie niwezavyo apendeze. Mda ulifika nikamsindikiza akarudi kwake
Tatizo lenyewe alipofika kwao huko kwao aliwambia mashofa zake kuwa kapata matron hao mashoga zake walikuwa wanne, walimwambie tumuone whatsap(si wadada mnajua zetu) kumbe mmoja wapo ni rafiki yangu fb na nilisoma nae advanced so alinijua.
Kwaiyo kati ya mashoga zake mmoja akaanza wew(bi harus mtarajiwa) wew ni mjinga sana utataftaje matron ambae hamuendani kwan yeye ndo anaolewa? Ivi nani alimtafta? Akawambia ni mme wake na dada yake kweli walisema mengi sana mpaka mmoja naomba nisiyaseme.
So yule ambae ni rafiki yangu fb akanitafuta akanambia kila kitu kweli nilijiskia vibaya maana hakunificha lolote
ukweli ni kwamba bidada na mm niliona hatuendani kabisa labda tunataka kufanana rangi tu ila pengine sijisifii hatuendani yaani sikustahili niwe matron wake.lakin nikasema kama wamelidhia poa nisikatae wakasema naringa.
Ikumbukwe kuwa bi dada alipo kuja nilimuhuliza vip kwenu huwezi pata matron? Akasema sio wazoefu na sherehe itafanyiwa hapa mjini so nitafaa mim.
Baada ya hayo yote walonitukana mashoga zake kumbuka kwenye sherehe watakuwepo nikawaza watakavyokuwa nanyooshewa kidole nikasema hapana isiwe ishu siendi tho nitafanya yafuatayo
1:mchango natuma
2: vitu alivoniomba namtumia
3:sitowi sababu ya kutoenda namwambia atafte mwingine ili nisimsalti yule rafiki yangu fb alienambia.
Mama wa kijana juzi alinipigia akanambia nitakuja nikamwambia mungu akijaria huyo mama ananipendaga sana.
Wana mmu maneno walosema lililoniuna ni ili (' au huyo matron alikuwa mchepuko wake?) ndo maana alimtafta?' jamani limeniuma ukizingatia mkaka mwenyewe si type yangu afu ni under age below 30 kwangu hapana coz na mm niko under 30 jaman imeniuma nitaonekana kituko nikienda hasa wale mashoga wa bi harusi.
Jamani familia ya kijana tunaheshimiana sana ila ndo ivo tena.kwanza wamenipunguzia garama.
Jaman maamuzi haya ni sahihi? Je ikifikazangu yangu mda ukifika wanaweza susia sherehe yangu? Naomba ushauri:
karibuni wote.
mi nnavofahamu send off ni sherehe ya upande wa bi harusi ss huyo mama mkwe, wifi mtu na bwana harusi yamewakuta yepi? hiyo sababu aliyotoa huyo bi harusi haina mantiki

Women's issues.........

Usipende kusimamia harusi za watu...wanasema ni nuksi... utakuwa huolewi...maana kama huko under 30 afu umeshakuwa matron mzoefu ina maana unapenda sana shughuli...
Nijuavyo mimi matron anatakiwa awe tayari kwenye ndoa...
Mi sijawahi kuwa matron na sijawai kuwaza eti ntakuja kukosa matron kisa nimetolea watu nje waliponiomba niwe msimamizi...