Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Kuna mwanamke mmoja alimuomba mpangaji mwenzake wa kiume ndoo ya kuogea,alipomaliza kuoga akamrudishia jamaa ndoo yake. Baadae akakumbuka kama amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akamwambia yule jamaa,nae jamaa akamwambia ingie ndani aichukue.
Wakati anatoka ghafla mume wake akawa anarudi nakumkuta mkewe ameshika chupi mkononi akitoka kwa msela. Je kama wewe ni mume wa yule demu au mke wa yule msela utafanyaje?
Wakati anatoka ghafla mume wake akawa anarudi nakumkuta mkewe ameshika chupi mkononi akitoka kwa msela. Je kama wewe ni mume wa yule demu au mke wa yule msela utafanyaje?