falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,360
mambo
Chukulia upo nyumba ya kulala wageni uko wewe na partner wako ila sio mke wako au mume wako, uko na mtu tu mwingine either ni boyfriend/girlfriend/mchepuko/au yeyote yule mmechukuana mnapojua kwa lengo la kuvunja amri ya sita(mchezo mbaya) mkiwa katikati ya mchezo mwenzako anaaga dunia gafla. k
Je kipi utafanya ukizingatia nyumba nyingi za kulala wageni siku hizi zina kamera au whatever.
Je utachukua hatua gani pindi mwenza wako anapofariki gafla mkiwa mchezoni.