Kama ni wewe ungefanyaje?

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,012
741
Du.......! Yani ulikuwa ukituma pesa kijijini ili ujengewe nyumba na umekuwa ukituma pesa kwa miaka kumi mfululizo na ukipiga simu unaambiwa sahizi mafundi wana paua siku unaamua kwenda kuangalia mjengo wako unakutana na hali hiii..... Hivi kama ni wewe ungefanya nini?
1483264844865.jpg
 
Ujinga ni pale hata unapojengewa nyumba yako ukiwa mbali, bila hata kuomba utumiwe picha ya nyumba yako uone maendeleo yake!
 
Hahaha kuna ndugu yangu alituma hela wamnunulie mbuzi, wakawa wanamwambia mbuzi yupo na keshashika mimba... Alipokuja kwenda hahaha wanamwambia hali ilikuwa mbaya tuliitumia ile hela na hatukununua mbuzi yoyote hahahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom