Kama ni wewe ungechukua hatua gani?

Kama ni wewe ungechukua hatua gani?

Ipeleke GLOBAL PUBLISHERS....!

Humu JF imekwisha jadiliwa...na ni kitu ama jambo ambalo bado ni NADHARIA.

DMS (Doesn't make sense)
 
ningemkagua kwanza ndo mambo mengine yafuate km nikumkata mikono au kumpeleka kwao au kichapo
 
Kwa mwanamke mwenye staha angeenda kujistiri vizuri kwanza ndio akachukue hiyo nguo yake ya ndani na asingetoka nayo kama bendera kiasi cha wewe kugundua ameshika nini. Hivyo kwenda akiwa na kanga moja chumba cha mwanaume mwingine kinasema mengi juu ya tabia ya huyo mke.

Haswaaaaa
 
Nitamuuliza vipi imekuaje? halafu nitaenda kwa jamaa namuuliza vipi mbona mke wangu ametoka huku kwako nini kinaendelea?? Nitalinganisha majibu kama yako sahihi napotezea kwa sababu namuamini mke wangu
 
Back
Top Bottom