Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 405
Hata wanawake mnaruhusiwa kuchangia.
Ok ipo wakuu soma yote pls.
Nilikuwa mbali na nyumbani nikakutana na binti fulani nikampenda nikamtongoza baada ya muda akanikubalia tukaanza kudate.
Alinisimulia maisha yake yaliyopita moja akadai ujauzito wake wa miezi mitano ulimharibikia. Nilimpa pole nami nikamsimulia yangu, tukaendelea kudate.
I live alone, alikuwa anafanya kazi karibu na ninapoishi hivyo jioni kabla ya kurudi kwao lazima apite kwangu kisha aondoke. Baada ya muda nikaanza kula tunda life likaendelea, tukala tunda kavu.
Siku moja akaniambia anataka akafanye vipimo nikamwambia ok. Majibu kurudi anamimba. Akaniuliza vipi (nikiwa mkweli) nilimshauri tutoe tukakubaliana bila kinyongo. Mahusiano yalizidi kuendelea bila tatizo. Tukashauriana atumie vidonge.
Akawa anatumia na kila siku nikawa namkumbusha. After three weeks tena akaniambia anataka akachukue vipimo akaenda majibu kurudi anaujauzito. Hapa aliniwahi akasema akiendelea kutoa atahatarisha maisha yake. Lakini nikamuuliza si ulikuwa unatumia pills?? Akasema haelewi.
Ok, nikasema kama kweli yametokea haya na tulitumia mbinu zote kuzuia nitakubaliana na kila kiti usitoe. Ishu ikawa kwa wazazi wake atasemaje?? Akaniambia wazazi wakijua nimepata mimba ya mgeni sitakuwa na cha kuongea hivyo nitaficha hadi watakapogundua.
Tukawa tunaendelea na mapenzi yetu. Kufupisha stori.
-Huyu binti anamdogo wake lakini mimi toka siku ya kwanza nilihisi ni mwanae. Tumegombana saana kwenye hili. Alinitumia hadi vyeti vyake vya kuzaliwa akidai ni mdogo wake. Ila nafsi haikukubali hadi kesho. Namna ya kuthibitisha sina.
-Juzi amenilalamikia nimekuwa kimya saana lakini sio kweli nikimwambia njoo nyumbani hataki toka december, hivyo anaona simpendi tena.
- lingine baada ya kukwaruzana na familia aliamua kuishi nyumba ya babu yao mbali na nyumbani lakini bado anaishi na yule anayemuita mdogo wake.
-Lililonitisha zaidi ni nimemshauri juzi njoo tuishi pamoja kwa kipindi hiki ujauzito mdogo kisha tuta-sort baadhi ya mambo. Tukakubaliana atanipa feedback jana ila jana anadai hawezi kuhama maana anaishi na mdogo wake.
-kuna siku alikuja nyumbani nikaomba mchezo akaninyima akiamini haniamini kama sijatembea na mwanamke mwingine. Nilimjibu vibaya(Nilimwambia inamaana huwezi kuniamini? Mbona mimi niliamini ujauzito ni wangu) alilia saana)
-Nimekuwa najaribu kutumia busara ya kila aina nisimwache aone ananyanyasika au namwachia mzigo wa kulea lakini naona naelekea kushindwa.
1. Toka mwanzo nilimwambia kama una mtoto na ulinificha siwezi kukubaliana na lolote. Huu wasiwasi nimeueleza hapo juu.
2. Analalamika simpendi tena ilihali natumia mbinu zote aje aishi nami maana anaonekana yupo lonely napo hataki. Sasa mimi nifanye nini? Na week siku sio nyingi aliniblock nikatumia simu card nyingine kumtafuta...nikamwambia wewe mbinafsi saana. Unaniblock ili uifurahishe nafsi yako while kid ndiye anaenda kuumia. Nimechoka kuandika.